Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

Naomba mwenye ile pic ya kessy kainama bungeni aweke hapa😂🤣
Unapenda sana ligi mkuu🤣🤣

DA2F2DDE-9C40-48B4-902D-A4F09B922710.jpeg
 
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.

Namnukuu

Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"

Pia soma
Tulifahamu ile ilikuwa in hoja ya kulinda tumbo lake Nkamia na hivyo ndivyo walivyo CCM wote.Tumbo na maslahi binafsi yanaliangamiza Taifa la Tanzania.
 
Huyu Chawa Haaminiki Amwagiwe Maji Moto Apasuke Tu, Hakuna Namna Anajichosha Na Kiwingu

Eeh kumbe ilikuwa ni njaa..[emoji23].. Kwahiyo alifanya hivyo ili kuchumia tumbo.. Hoja ingepita je!?[emoji848][emoji2827]
Na njaa Imeanza kumkaba tena,anafikili ataramba hata uDC
 
Kwa hali ilivyo nina mashaka hizi sifa anazopewa mama. Mama anasifiwa kuliko alivyokiwa anasifiwa JPM. Nina mashaka hizo sifa ni za kinafiki.
My take: Ni kufanya yaliyo sahihi hata kama watu kubeza au kukusifu kinafiki kazi ulizoziacha zitakusifu vizazi na vizazi.
 
Na mpuuzi mwingine anaitwa ALLY KESSY wanaNkasi wakamchinjilia mbali.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Juma Nkamia, Ally Kessy, Ndugai na Deo Sanga, hawa walikuwa ndiyo front runners wa kumuongezea muda DIKTETA wa Chato.

Aggrey Mwanri, Kangi Lugora, Palamagamaba Kabudi na Sheikh Alhad wa BAKWATA Dar, hawa walimfananisha Magu na mungu au Yesu.

Lakini wote wanatumikia adhabu zao kasoro Deo Sanga, bado siku yake
 
Ndio uone ccm livyojaa wanafiki!! JPM alidhani kina Lissu na Mbowe wanamhujumu na sio wazalendo bila kujua waliomzunguka ndio wabaya zaidi yaani Chui waliovaa ngozi ya kondoo!!

Nahisi akigundua ilipokua too late, kama angewaweka wapinzani karibu wanafiki wote wangefahamika mapema. Fikiria mpaka Bulembo na Msukuma wamemgeuka!!! That's CCM
 
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.

Namnukuu

Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"

Pia soma

Juma Nkamia bora ungefukuzwa Jimbo la nchemba Hata ulichokifanya kule hakuna​

Back
Top Bottom