Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kwa hiyo wale mliosema nkamia alitumwa alete hoja ya 7 yrs, tunakubaliana sasa kuwa hakutumwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.
Namnukuu
Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"
View attachment 2216559
Kwani wewe pimbi nimesema nataka msaada mimi kwa Juma Nkamia?Haikusaidii kitu
Angalau umesema ukweli. Huyu ndiye alikuwa mbele kabisa kusema Magufuli aongezewe muda. Ifike mahali vyama vyote vya siasa kwa umoja wao wafukuzie watu wa aina hii mbali na wasipewe nafasi yoyote. Yes, CCM wangekuwa wana akili wangemtia sasa hivi kwa unafiki wa kiwango cha juu anao uonyesha. Hata yakitokea tena mabadiliko mtu kama huyu atamnanga mama Samia.Huyu Juma Nkamia ni kati ya wanasiasa wachovu wanaochezea mustakabali wa siasa na maslahi ya umma kwa matatizo binafsi
Ndio unataka msaadaKwani wewe pimbi nimesema nataka msaada mimi kwa Juma Nkamia?
Haikuisha, 2020 hakurudi bungeni. Kura za maoni alipigwa chini"Kwa kuwa Mzee alipenda sifa kesi ikaisha."[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutasikia mengi mwaka huu.
Hawa ni wachovu wanaosoma upepo na kutoa matamko ili kutuliza njaa zao. Kweli Tanzania tuna kazi. Huyu naye ni mbunge!Eeh kumbe ilikuwa ni njaa..[emoji23].. Kwahiyo alifanya hivyo ili kuchumia tumbo.. Hoja ingepita je!?[emoji848][emoji2827]