Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

Ikiwa Maprofessor 100 watampigia kura mgombea A na Wendawazimu 101 watampigia kura mgombea B. Nani atakuwa mshindi, as far as democracy is concerned?
 
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.

Namnukuu

Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"

Pia soma

Kweli mnatuabisha, Panya road naye Mama yake katelekezwa, wanalala njaa ndo maana anaiba. Sasa huyu na Panya road mwenye miaka 14 anayejaribu msaidia Mama yake wana tofauti gani?
 
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.

Namnukuu

Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"

Pia soma
Huyu jamaa aliwahi kupeleka hoja JPM aongezewe muda wa kuongoza. Leo anaanza kumnanga JPM. Wana siasa watu wa ajabu sana
 
Angebaki na msimamo wake hata kama angefukuzwa chamani angeheshimika zaidi, lakini kitendo cha kutaka Magufuli atawale miaka saba ili kujikomba kwake ndio alijivua heshima yote.

Atambue hata wale wengine waliofukuzwa CCM kwasababu ya misimamo yao walikuwa na watoto pia, lakini waliondoka ili kulinda heshima zao.
Umesahau wabunge na madiwani wenu wa chadema waliojiuza kwani hujui kwamba walikuwa na wake na watoto? Kwanini hawakubaki na msimamo ili waheshimike?
Tatizo nyumbu hamna kumbukumbu kazi kudandia hoja tuu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.

Namnukuu

Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"

Pia soma
Nonsense. Unafiki mtupu.
 
Mbona hatukumbuki kama Juma aliwahi kukataa huo mswaada? Labda aseme tu hi njia ya kutafuta kuurudia umaarufu ili apeneye kwenye ubunge.
 
Naye Nkamia amesema kuwa yeye ni msomi wa kiwango cha Masters katika uhusiano wa kimataifa na katika tafiti zake alizozifanya sehemu nyingi duniani aligundua kuwa nchi nyingi hazifanyi chaguzi mara kwa mara.

Amesema ndio sababu alianzisha hoja hiyo kwa kutumia kanuni halali za bunge na wabunge wenzake walimuunga mkono kwa 100%. Lengo la hoja yake ilikuwa ni kupunguza gharama za uchaguzi, amesisitiza Juma.

Nkamia ameuliza, "...kwani ni nani hajui kuwa Rais Magufuli atachaguliwa tena 2020?.....sasa kuna haja gani tena kutumia gharama kubwa katika uchaguzi huo ambao ni kama wa kumpitisha tu?"

Nkamia amesema Dr Bashiru ni boss wake hivyo hawezi kubishana naye na kwa maana hiyo ameufunga rasmi mjadala huo.

Chanzo: Channel ten tv
 
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.

Namnukuu

Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"

Pia soma
Huyu ni nguchiro tu anatukana msasi akiona shimo
 
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.

Namnukuu

Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"

Pia soma
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mtu kama huyu hastahili kuaminiwa tena na wananchi. Maana ni muoga, hajiamini, mbinafsi, mnafiki na mchumia tumbo.
Wewe ambae unajiamini.kwa nini hukupinga Msaada hadharani badala yake Nkamia alipinga na baada ya kuona Yuko hatarini akajihami?

Ulitaka msalaba wako akubebee nani?
 
Wewe ni Juma Nkamia? Tuanzie hapa kwanza. Halafu ni nani aliyekuambia nina msalaba ninaotaka kumbebesha mtu mwingine?
 
Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari.

Namnukuu

Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza waandishi wa habari. Mimi nina watoto na wanasoma,Kujinusuru nikaamua kubadili gia angani nikaja na hoja ya miaka saba na kwakuwa mzee alipenda sifa kesi ikaisha"

Pia soma
Naamini ameelezea kilichokuwa kikifantika kwa viongozi wengi. Maana yake utaratibu au aina ya uongozi wa wakati huo uliwafanya wateule wawe na mbinu za ku'survive' (kama alivyofanya huyu mkuu). Can you imagine!
 
Back
Top Bottom