Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

Status
Not open for further replies.
hili ni la kifungiwa maisha

Si kufungiwa maisha tu ila kupelekwa mahakamani na baadae jela! Sijui kwa Tanzania lakini USA definition ya kubaka ni “[FONT=Times New Roman, serif]Penetration, no matter how slight, of the vagina or anus with any body part or object, or oral penetration by a sex organ of another person, without the consent of the victim.”[/FONT]
 
What I can say....!
Some things can never be forgotten and nor forgiven.
 
Hivi huyu jamaa huwa anajifikiriaje! kiukweli ni jambo la kukera na kuudhi, huko nikumdhalilisha mwenzie, hakianani kama ndo mie uwanjani patachimbika, naomba tukemee na kuisambaza sehemu nyingi picha hii kukemea upuzi huu

Huu ni upuuzi wa kutupwa halafu mtu ana ndoto za kucheza ulaya as a professional player kwa mi mitabia hiyo kweli!!!!!!!! boko angemtia kichwa.
 
Kwa hilo tukio atakuwa amejistaafisha soka
 
Haaa. Wadau wa mpira huyu ndio mnasema ni katabia kake? Hee tunaenda wapi? haya ya kufanya hadharani kweli kwa mwanaume mwenzio? jambo lakukemea hili...anaelisupport nashindwa nimweke kundi gani.
mmh...au ndio bangi nibangue......
 
Anatafuta kiki.
Afu inakuaje uyo jamaa anasikilizia tu utamu?
 
Aliepiga picha naye kiboko, alijuaje halafu picha ukiiangalia unaona kama imeandaliwa iwe hivyo
 
Kiukweli anadhalilisha soka letu,bora mcheza rafu mara elfu kuliko huyu anaefanya kitu kisichohusiana na mchezo!

Inasikitisha sana kwa mtu kama yeye kufanya hivyo vitu ingalikuwa kuna vijana wengi wanajifunza kupitia yeye!

Lazima TFF Ichukue hatua stahiki kwa wachezaji kama hawa kwa maendeleo ya soka letu na kizazi chetu kijacho,apigwe ban ya maisha huyu inaonekana hana hamu na soka,kazoea ndondo za mtaani na amesahau siku hizi mechi zipo live!

Hata kwenye ligi ndogo alimfanyia hivi mchezaji wa simba ilipocheza na ashanti kule morogoro! Poor Nyosso
 
NYOSSO 1.jpg
walitala kuzichapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom