Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

Status
Not open for further replies.
afungiwe maisha hata ndondo asicheze pumbavu zake ,hivi hata mkewe sianaweka kumpiga dole barabarani shenzi zake
 
Huyu Nyoso shwain kabisa. Ana tabia za kishenzi namna hii?
Huyu afungiwe kucheza soka miaka si chini ya mitano. Ili apate muda wa kutosha wa kupumuliwa na kupumulia mashoga.
 
Vitendo kama hivi vitawafanya wazazi wasiruhusu watoto wao wakiume kwenda kucheza soka
 
Anatafuta kiki.
Afu inakuaje uyo jamaa anasikilizia tu utamu?

Hakika si tabia njema michezoni na mahali pengine popote kwani ni kitendo kidhalilishacho uanaume wa mtu...

Lakini kuna jambo moja huwa lanitatiza, hao wanaume wanaodhalilishwa mbona huwa wapo kimya tu hata hatujawahi kuona wakianzisha hata zogo?

Hivi kweli mwanaume rijali uguswe kalio halafu upotezee tu hivi hivi....mmmh!!!

Kinachonishangaza ni jinsi Bocco alivyotulia, ningekuwa mm pangechimbika.

Wakuu hicho ndio kinanishangaza inawezekanaje wanaofanyiwa hicho kitendo watulie tuli ??? Au Nyosso Mchawi ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom