Jumamosi kwa mara ya kwanza nilipata kifungo (BAN) katika gereza la JamiiForums

Hakuna Ban ambayo haijawahi kuumiza Mkuu labda kwa wale wenye id mbilimbili ila kama mie nilikuwa nna kazi ya kuchungulia tu kuona kama imekwisha.

Maana niliipataga kipindi ambacho ndio nilikuwa mteja hasa wa jf.
Nimekuelewa sana kwenye Id mbili mbili....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimekuelewa sana kwenye Id mbili mbili....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba zina faida mdogo wangu au maana mie dada yako ujanja wangu wote nakomaa na hii moja miaka nenda rudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…