Jumamosi kwa mara ya kwanza nilipata kifungo (BAN) katika gereza la JamiiForums

Jumamosi kwa mara ya kwanza nilipata kifungo (BAN) katika gereza la JamiiForums

Hakuna Ban ambayo haijawahi kuumiza Mkuu labda kwa wale wenye id mbilimbili ila kama mie nilikuwa nna kazi ya kuchungulia tu kuona kama imekwisha.

Maana niliipataga kipindi ambacho ndio nilikuwa mteja hasa wa jf.
Nimekuelewa sana kwenye Id mbili mbili....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom