Wakati wa safari huwa tunakuwa na pocket money bana[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba zina faida mdogo wangu au maana mie dada yako ujanja wangu wote nakomaa na hii moja miaka nenda rudi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolWakati wa safari huwa tunakuwa na pocket money bana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
loooh nina week tu nilipata ban ya siku tatu kosa ni kusema ngoja waje cc hajar nimekoma
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani ila nimekoma sisemi tenaPole dada akee hiyo ni sababu kweli ya kupewa ban
Ulivyopewa BAN likes zako zilifutwa pia mkuu, au zilibaki vilevileilikuwa jumamosi saa sita naingia zangu jf ili nikapitie uzi wa Raynavero kuhusu jf ingekuwa shule ya bweni mara paaap nakutana na Padlock kosa likiwa highlighted kwa chini
hapo ndipo nikagundua kuwa siyo kila anayekwenda jela huwa ana hatia kwa kweli....
ila BAN imenifanya nigundue kuwa jf ni kama madawa ya kulevya ukishaianza ukiikosa unapata arosto ambayo haiwezi tibika kwa mtandao mwingine wowote zaidi ya jf basi nikawa naingia kwa kutumia browser nyingine nikiwa kama guest yaani read only na hapo thread nyingine hazifunguki sababu ya seting za privacy nahisi
sasa nikajiuliza kama mimi sipo active kihivyo na weekend yangu ikawa hovyo kabisa sababu ya arosto ya kukosa jf sasa huwa hali inakuwaje kwa member wakongwe na active pale wapatapo BAN
nakumbuka Shunie alikula BAN sasa najiuliza dada angu hivi hali ilikuwaje au BAN umezizoea
dada mkuu amu vipi umeshawahi pata BAN je hali ilikuwaje by the way pole niliona kijana ema (C.I.A) Agent alivyo kudisapoint ila ndio hivyo nilishindwa kucoment sababu niliingia kama guest maana id yangu ilikuwa gerezani
Nyani Ngabu vipi the chimney ngabu umeshawahi kwenda gerezan je hali ilikuwaje maana mimi sipo active sana lakin niliumizwa sana na kushindwa kuingia humu kwa siku tatu je nyie wenzangu wakongwe na active members sihuwa hizi BAN zinawaumiza sana
cc theriogenology Duke Tachez Numbisa Castr
Ban-ani mbaya kiatu chake dawaban ndio nini.... sijawahi kuiona mie
Inawezekana. Ingia kwenye profile yako ubadili. kwa msaada zaidi mcheki moderator au invincible
Aiseeeloooh nina week tu nilipata ban ya siku tatu kosa ni kusema ngoja waje cc hajar nimekoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwasema chadema nini....!?ilikuwa jumamosi saa sita naingia zangu jf ili nikapitie uzi wa Raynavero kuhusu jf ingekuwa shule ya bweni mara paaap nakutana na Padlock kosa likiwa highlighted kwa chini
hapo ndipo nikagundua kuwa siyo kila anayekwenda jela huwa ana hatia kwa kweli....
ila BAN imenifanya nigundue kuwa jf ni kama madawa ya kulevya ukishaianza ukiikosa unapata arosto ambayo haiwezi tibika kwa mtandao mwingine wowote zaidi ya jf basi nikawa naingia kwa kutumia browser nyingine nikiwa kama guest yaani read only na hapo thread nyingine hazifunguki sababu ya seting za privacy nahisi
sasa nikajiuliza kama mimi sipo active kihivyo na weekend yangu ikawa hovyo kabisa sababu ya arosto ya kukosa jf sasa huwa hali inakuwaje kwa member wakongwe na active pale wapatapo BAN
nakumbuka Shunie alikula BAN sasa najiuliza dada angu hivi hali ilikuwaje au BAN umezizoea
dada mkuu amu vipi umeshawahi pata BAN je hali ilikuwaje by the way pole niliona kijana ema (C.I.A) Agent alivyo kudisapoint ila ndio hivyo nilishindwa kucoment sababu niliingia kama guest maana id yangu ilikuwa gerezani
Nyani Ngabu vipi the chimney ngabu umeshawahi kwenda gerezan je hali ilikuwaje maana mimi sipo active sana lakin niliumizwa sana na kushindwa kuingia humu kwa siku tatu je nyie wenzangu wakongwe na active members sihuwa hizi BAN zinawaumiza sana
cc theriogenology Duke Tachez Numbisa Castr
Siku ile nilishangaa hata mimi BAN imetokea wapi...Thanks God tangu nijiunge nimefungwa mara moja tu I together with my one and only Smart911 the great king.. .. same day same hour same time same topic same reasons... ila mimi niliwahi kuachiwa.. 1 day nyuma yake
sijajua huku mbele...
Naomba nisimulie huyu kijana ema kafanyaje naona ni gumzo,niliona aliomba msaada wa godoro,uzi ukawa mrefu nikaona uvivu kuusoma woteasante mkuu.... yani kila mda nilikuwa naingia nikifiri ntakuta waniondolea kifungo kwa kuona labda wamenifunga kwa kosa dogo sana ila wapi [emoji23][emoji23]