Mpaka ostadhat umekula BAN??![emoji2] [emoji2] [emoji2]Hakuna Ban ambayo haijawahi kuumiza Mkuu labda kwa wale wenye id mbilimbili ila kama mie nilikuwa nna kazi ya kuchungulia tu kuona kama imekwisha.
Maana niliipataga kipindi ambacho ndio nilikuwa mteja hasa wa jf.
Kijana yule atakua ni tapeli tu hana lolote maana kila siku anakuja na scenario mpyaaNaomba nisimulie huyu kijana ema kafanyaje naona ni gumzo,niliona aliomba msaada wa godoro,uzi ukawa mrefu nikaona uvivu kuusoma wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana bina unaweza ambiwa vitu umefanya ambavyo hata huvijui ukabaki unashangaa tu,nadhani kijana ema ni mama sabrina tena [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Kijana yule atakua ni tapeli tu hana lolote maana kila siku anakuja na scenario mpyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo invisible Nina shida nae kubwa tu..kama akiona hii comment naomba anirekebishie pm yangu niwe naziona pm zangu..na waniruhusu kupm wengine..hii hali yanichoshaunaweza ila mods ndio watakaokubadilishia nenda pm ya Invisible na umwambie jina unalotaka na yy atakubadilishia
Hapana yule si wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni jinga Fulani hivi!yaani sio mtu mzuri hata kidogooMaana bina unaweza ambiwa vitu umefanya ambavyo hata huvijui ukabaki unashangaa tu,nadhani kijana ema ni mama sabrina tena [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwangu hili tatizo lipo,nilidhani ni kwangu tu. Ila nikitumia browser pm haisumbui shida inakuja nnapotumia appHuyo invisible Nina shida nae kubwa tu..kama akiona hii comment naomba anirekebishie pm yangu niwe naziona pm zangu..na waniruhusu kupm wengine..hii hali yanichosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bina muda unavyozidi kwenda unakua unanijua kiasiiHapana yule si wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni jinga Fulani hivi!yaani sio mtu mzuri hata kidogoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Waturekebishie bana ..hayo mambo ya Browser kuchoshana tuHata kwangu hili tatizo lipo,nilidhani ni kwangu tu. Ila nikitumia browser pm haisumbui shida inakuja nnapotumia app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa! Tumetoka mbali kama nyuki na asali bina!siku hizi umekua sana ujue
Sanaaa kumbe ushagundua eee nilikuaga chizi jamani[emoji23][emoji23]ukubwa binaHahaaa! Tumetoka mbali kama nyuki na asali bina!siku hizi umekua sana ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Credit ziende kwa G kukubadilisha aisehSanaaa kumbe ushagundua eee nilikuaga chizi jamani[emoji23][emoji23]ukubwa bina
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu acha tu hata naogopa kuongelea hilo swala maana nilipigwa tena BAN ndo nimefunguliwa hapa πππ
Naomba nisimulie huyu kijana ema kafanyaje naona ni gumzo,niliona aliomba msaada wa godoro,uzi ukawa mrefu nikaona uvivu kuusoma wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyopewa BAN likes zako zilifutwa pia mkuu, au zilibaki vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app