Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Mpaka ostadhat umekula BAN??![emoji2] [emoji2] [emoji2]Hakuna Ban ambayo haijawahi kuumiza Mkuu labda kwa wale wenye id mbilimbili ila kama mie nilikuwa nna kazi ya kuchungulia tu kuona kama imekwisha.
Maana niliipataga kipindi ambacho ndio nilikuwa mteja hasa wa jf.
Sent using Jamii Forums mobile app