Jumamosi kwa mara ya kwanza nilipata kifungo (BAN) katika gereza la JamiiForums

Hahaha mods wakishashibaga kuku wa KFC wanakuwaga na Matatizo sana

[emoji252] [emoji479]
acha tu yani hapa nahisi nasubiriwa niteleze kidogo nitaje tena lile neno nile BAN nyingine πŸ˜‚πŸ˜‚
 
asee dada angu si kwenye uzi huu huu ile day wakanilima tena BAN ya siku tatu ndio imeisha hapa
 
Ahaaaa kumbe so uzi upo au ushafutwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…