Jumamosi ndipo wote mtakubaliana nami kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% tukishatoka kupewa Kichapo cha uhakika

kichapo cha uhakika
naomba ziwe goli 3 kuendelea ili kuwafunga midomo kabisa
 
Yanga kufungwa kifurushi kuko palepale
Ukisema palepale maana yake kurudia..!! Aliyefungwa mara nne anarudia kufungwa a.k.a kifurushi kiko pale pale tena cha heshima ya tarehe..!! ELEWA NENO TAREHE
 
Jumamosi si mbali tutayaona uwanjani,ili kuthibitisha yanayozungumzwa.
 
Kweli wewe ni dunduka unamtuhumu mtu bila ushaidi unaulizwa kafanyeje eti oooh katuumiza sana sijui katusaliti si useme kafanya hivi na vile
 
Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Nilidhani labda hayuko efficient kwenye kazi zake, labda ana tatizo, kumbe ni hisia zako binafsi? 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…