Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Wapumbavu hapa niliposema kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Yanga SC 100% wakanibishia labda leo kwakuwa nawe pia Umethibitisha hapa watanielewa na Kukubali kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine Kitaarifa na sina Mpinzani.
Ukisema palepale maana yake kurudia..!! Aliyefungwa mara nne anarudia kufungwa a.k.a kifurushi kiko pale pale tena cha heshima ya tarehe..!! ELEWA NENO TAREHEYanga kufungwa kifurushi kuko palepale
Kwahiyo hata GENTAMYCINE ni mwananchi?
Sijaenda niko Kambini na nimetingwa Kiratiba.AMINA, vp umepaka majivu parokia gan leo
Pole sana ila siyo mbaya piga kazi ndugu yanguSijaenda niko Kambini na nimetingwa Kiratiba.
Wamakonde ni yanga
99.999999999%Wamakonde ni yanga
Kwani msemaji huwa naye anacheza mpira?Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Hilo linajulikana na nimeshalisema sana hapa.sisi tunaye ally kamwe naye ni simba lialia
Ahmed Ally anacheza namba ngapi?Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Nilidhani labda hayuko efficient kwenye kazi zake, labda ana tatizo, kumbe ni hisia zako binafsi? 🤣🤣🤣Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.