Jumamosi ndipo wote mtakubaliana nami kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% tukishatoka kupewa Kichapo cha uhakika

Jumamosi ndipo wote mtakubaliana nami kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% tukishatoka kupewa Kichapo cha uhakika

kichapo cha uhakika
naomba ziwe goli 3 kuendelea ili kuwafunga midomo kabisa
 
Kuna Wapumbavu hapa niliposema kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Yanga SC 100% wakanibishia labda leo kwakuwa nawe pia Umethibitisha hapa watanielewa na Kukubali kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine Kitaarifa na sina Mpinzani.
FB_IMG_17284930074664162.jpg
FB_IMG_17284930143784562.jpg

Bado ana hamu ya kuja kupiga picha na kombe lingine
 
Yanga kufungwa kifurushi kuko palepale
Ukisema palepale maana yake kurudia..!! Aliyefungwa mara nne anarudia kufungwa a.k.a kifurushi kiko pale pale tena cha heshima ya tarehe..!! ELEWA NENO TAREHE
 
Jumamosi si mbali tutayaona uwanjani,ili kuthibitisha yanayozungumzwa.
 
Kweli wewe ni dunduka unamtuhumu mtu bila ushaidi unaulizwa kafanyeje eti oooh katuumiza sana sijui katusaliti si useme kafanya hivi na vile
 
Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Nilidhani labda hayuko efficient kwenye kazi zake, labda ana tatizo, kumbe ni hisia zako binafsi? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom