Jumamosi ndipo wote mtakubaliana nami kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% tukishatoka kupewa Kichapo cha uhakika

Ahmed namjua vizuri sana ni shabiki wa Yanga ila kwssasa hawezi kufanya upuuzi wa kuwasaliti wanaompa ugali eti kisa mapenzi kwa Yanga ambayo haimpi chechote kile....mbona sisi Yanga tunae canavaro ambaye kiasili ni simba ?
 
Kuna Wapumbavu hapa niliposema kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Yanga SC 100% wakanibishia labda leo kwakuwa nawe pia Umethibitisha hapa watanielewa na Kukubali kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine Kitaarifa na sina Mpinzani.
 
Back
Top Bottom