GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanyaje tenaNa ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Anatuumiza na ameshatuumiza sana huko nyuma kwa Kauli zake na Usaliti wake wa Kimkakati ambao unaifaidisha Yanga SC.Kafanyaje tena
Hata serikali ya CCM inawatumoshi ambao no wanachama wa Chadema, ACT WAZALENDO.Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Pale Simba kaajiriwa kama msemaji tu na sio shabiki wa simba, anahaki ya kushabikia team youote ila atimize majukumu ya kazi yakeNa ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Kakuajiri umsemee hapa JF?Pale Simba kaajiriwa kama msemaji tu na sio shabiki wa simba, anahaki ya kushabikia team youote ila atimize majukumu ya kazi yake
Mtani wangu kumbe wewe mwanahabari?Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Mwana Mawasiliano ya Umma, Mkufunzi mwenye Leseni wa Tasnia ya Habari, Mwalimu wa Elimu Dunia na Mbarikiwa tukuka.Mtani wangu kumbe wewe mwanahabari?
Ushatoka Uganda mkuu? Na vipi umechungulia ukaona mnafungwa?Mwana Mawasiliano ya Umma, Mkufunzi mwenye Leseni wa Tasnia ya Habari, Mwalimu wa Elimu Dunia na Mbarikiwa tukuka.
Mwanangu unajipenda hatariMwana Mawasiliano ya Umma, Mkufunzi mwenye Leseni wa Tasnia ya Habari, Mwalimu wa Elimu Dunia na Mbarikiwa tukuka.
Unajiandaa kisaikolojia tu, ili, baada ya kichapo cha mbwa mwizi, uje useme... NILISEMA MIMI..!!!Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
Yanga kufungwa kifurushi kuko palepaleUnajiandaa kisaikolojia tu, ili, baada ya kichapo cha mbwa mwizi, uje useme... NILISEMA MIMI..!!!
Kalpana na Mshana Jr nanyi mmejiandaaje kisaikolojia?
CC Bantu Lady
Kuna Wapumbavu hapa niliposema kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Yanga SC 100% wakanibishia labda leo kwakuwa nawe pia Umethibitisha hapa watanielewa na Kukubali kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine Kitaarifa na sina Mpinzani.Ahmed namjua vizuri sana ni shabiki wa Yanga ila kwssasa hawezi kufanya upuuzi wa kuwasaliti wanaompa ugali eti kisa mapenzi kwa Yanga ambayo haimpi chechote kile....mbona sisi Yanga tunae canavaro ambaye kiasili ni simba ?
Nisipojipenda Mimi unataka anipende nani?Mwanangu unajipenda hatari
Asante na ndiyo maana nikawa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"Sijawahi kukupinga