Jumanne ijayo Rais Uhuru atazindua SGR ya mizigo itakayopeleka mizigo katika ICD ya Naivasha.

Please go back and read my comment carefully, I am not interested in your juvenile and idiotic arguments.
 
Hahahaha, hahahaha, stupid day dreamer.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hmmm, projects that have started and are being built as we speak. Who is daydreaming? Here is something you can do with your head since it is clearly impervious to facts and reason, stick it up your a-hole and suck it. Kenya is moving ahead turbo charged.
 
Kumekuchaaaa!!! Wapiga makelele wamekwama kwa kasafu ka kilomita 200km wakati sisi tanachezea kwenye karibu kilomita 700km za SGR.
Hiyo ICD kuunga kwenye SGR ni game changer.

Nyinyi au China?
 
Nyinyi au China?
Bila Wachina hii Afrika ingekwama, tunawashukuru sana, na mtaumia sana ila ndio kama hivyo, Mturuki anawalisha matango pori huko, kasafu ka km 200 sijui bado anachimba chimba nini huko.
 
Bila Wachina hii Afrika ingekwama, tunawashukuru sana, na mtaumia sana ila ndio kama hivyo, Mturuki anawalisha matango pori huko, kasafu ka km 200 sijui bado anachimba chimba nini huko.

Acha upotoshaji, Tz hatutegemei wachina ndio maana tuna jeuri ya kuwaonesha kidole cha kati na hawana la kutufanya, hii reli inayojengwa hapa ni ya kisasa tofauti na ya Kenya, Hiyo ya kenya haohao Wachina waliijenga hapa Tz miaka ya 70s,
Reli ya umeme yenye uwezo wa km 160km/hr ni lazima kujenga kwa ustadi wa hali ya juu.
 
Aliyewajengea tazara ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reli ya 160 km/h na reli yenyewe ina urefu wa 200 km. Kweli Waafrika tuna mchezo sana
 
Reli ya 160 km/h na reli yenyewe ina urefu wa 200 km. Kweli Waafrika tuna mchezo sana
Hahahaha, muungwana akivuliwa nguo huchuchumaa, ukiendelea kusimama utadhalilika.
1)Dar - Moro (300Km)
2)Moro - Makutopora(400Km)
3)Hii ni Electric, high speed, full automatic and continuous welded rail.
4) Full paid by GoT, sio mkopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nangoja kwa hamu vichwa vya treni na EMU ziingie, lazma wanywee!
 
Reli ambayo inajengwa kwa sasa ni hiyo ya 200 km. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Watu wa kilomita mia mbili wanatupigia makelele hata hatuwezi kupumua.
 
Kipande cha Moro - Makutopora kimefikia 20%, reli imeshaanza kutandikwa, Tunnels 2 kati ya nne zimeshatobolewa, ujenzi unaenda kwa kasi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Majina yenu yanafurahisha. Eti Ndugu Masanja Kungu Kadogosa. Wapi jina lake la kikristiano au kiislamu.
 
Majina yenu yanafurahisha. Eti Ndugu Masanja Kungu Kadogosa. Wapi jina lake la kikristiano au kiislamu.

Hahaha, Jinga sana wewe, ulitaka aitwe Nicholas Biwott? Majina ya Wazungu kuliko hata wazungu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…