Jumanne Muliro: Askofu Gwajima akitaka, akate rufaa (rufaa inakatwa kwa Waziri Bashungwa)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:

"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."

Chanzo: Wasafi FM

Soma, Pia
 
Chanzo: Swahili Times

Attachments

  • VID-20250603-WA0003.mp4
    36.5 MB

Sura ya watekaji hii
 
Ili apewe masharti:

1. Kumsifia mama.
2. Nabii wa Mungu kuridhia kuikana Imani kuvaa rasmi u Lucas Mwashambwa au u matunduizi au u Tlaatlaah.

Kwani kina Meshach, Shedrack, Daniel, au Abednego ilikuwa je?

Aluta continua!

MK254, imhotep mambo Iko huku.
 
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:

"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."

Chanzo: Swahili Times

Ungekuwa Msikiti usingefungiwa
 
Huu ni mtego. Gwajima asikate rufaa. Wanataka akate rufaa ili wamsumbue.
Gwajima akikubali kukata rufaa kesho watafungia Katoliki, Lutheran au Anglican kisha wawambie wakate rufaa.

Gwajima kazia hapo hapo, hakuna kukata rufaa
Kuna makanisa haiwezekani hata kuyafungia maana yapo nchi nzima na duniani.
 
Kwa nini mmepeleka vikosi vya polisi kanisani, kulikuwa na ulazima gani?
 
Back
Top Bottom