Jumanne Muliro: Askofu Gwajima akitaka, akate rufaa (rufaa inakatwa kwa Waziri Bashungwa)

Hawana jeuri yoyote ata usiku wa manane kufungia kanisa katoliki hapa inchini,, hawana hiyo jeuri kabisa.
 
Huu ni mtego. Gwajima asikate rufaa. Wanataka akate rufaa ili wamsumbue.
Gwajima akikubali kukata rufaa kesho watafungia Katoliki, Lutheran au Anglican kisha wawambie wakate rufaa.

Gwajima kazia hapo hapo, hakuna kukata rufaa
katoliki? Unajua nguvu za katoliki lakini? Pale hawatathubutu kupeleka vikosi vya kijeshi.
 
Wakitaka wanafungia. Hata Magufuli alitishia kufungia Lutheran
Asingeweza.
Katolic, Lutheran na sabato kidogo labda usumbuane na viongozi ila sio kuyafungia sababu nao wanafanya kazi kama serikali, sio yale makanisa yanayomilikiwa na mchungaji. Ukifungia kanisa katolic joto utakalopata kesho utafungua na kuomba radhi.
 
jitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani 🐒

Yesu akasema: "Asiyekuwa mwongo na mzinzi awe wa kwanza kurusha jiwe."

Kufumba na kufumbua waliokuwa washitaki walikuwa wametoweka wote kwa spidi ya ngiri!
 
gwajima ni mzinzi na muongo mno gentleman 🐒
 
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:

"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."

Chanzo: Swahili Times

Soma, Pia
Huyu mzee sura yake ni ya kuzimu kabisa
 
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:

"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."

Chanzo: Wasafi FM

Soma, Pia
😇😇😇😇😇😇😇
 
Back
Top Bottom