Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Nimeshangaa kwanini anakuwa mshauri tena😁😁Huyu jamaa atakufa vibaya, ajifunze kunyamaza.
Nimeshangaa kwanini anakuwa mshauri tena😁😁Huyu jamaa atakufa vibaya, ajifunze kunyamaza.
Kwahiyo kosa ni la taasisi au? Na nikosa gani ililofanya hiyo taasisi? Au kosa ni la mtu? Je kuna onya taasisi ilipewa kama sheria inavyotaka?Gentleman,
taasisi zote zilizosajiliwa kwa madhumuni mahususi, halafu kinyemela zikabadili malengo yake.
Ni Lazima ziwajibishwe kwa mujibu wa sheria ikiwa ni pamoja na kufutiwa usajili 🐒
Lazima ashauri iliwaepuke hiki kikombe, kufuta ile barua kimyakimya ni ngumu hadi wapate sababu. Akikata rufaa ndo nafuu yao watafuta ile barua haraka.Nimeshangaa kwanini anakuwa mshauri tena😁😁
Mbona chadema mbowe alipokuwa gaidi hawakuifuta chadema? Sasa Lissu ni mhaini hawajaifuta chadema wame deal na kiongozi tuu.Kwahiyo kosa ni la taasisi au? Na nikosa gani ililofanya hiyo taasisi? Au kosa ni la mtu? Je kuna onya taasisi ilipewa kama sheria inavyotaka?
Vipi zile hella ulizompa mtumishi wa Mungu ili utoboe kuelekuea Bungeni ?jitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani 🐒
Sidhani kama inalenga hivyo....Lazima ashauri iliwaepuke hiki kikombe, kufuta ile barua kimyakimya ni ngumu hadi wapate sababu. Akikata rufaa ndo nafuu yao watafuta ile barua haraka.
Ungekuwa wewe ni polisi ungefanyaje hiyo kazi?. Angalau mapolisi wa Uingereza na mataifa mengine yenye kuzitambua haki za binadamu, mapolisi wa afrika ni shida tupu.Huwa wanakufa vibaya!
Wengine wawili walipigwa na radi kule mererani.
Kazi kweli kweliUngekuwa wewe ni polisi ungefanyaje hiyo kazi?. Angalau mapolisi wa Uingereza na mataifa mengine yenye kuzitambua haki za binadamu, mapolisi wa afrika ni shida tupu.
Malaika wangekuwa wanakemea haya mauwaji basi kusingekuwa na haja ya wakala shetani ndio kuja kukemea mauwaji.jitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani 🐒
Kuna watu waongo na wanafki kama watu wenye kumsifia Samia?gwajima ni mzinzi na muongo mno gentleman 🐒
Unahukumu wewe ni Mungu, hizi laana mnachuma zitatafuna vizazi na vizazi vyenu niwambieni,jitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani 🐒
Comrade tulitimia cv ipi kumchaguz kamati kuu ya CCM Taifa!!?jitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani 🐒
roho ya chafu uzinzi imemuingia tena ghafla na akawa muongo mwenye kiburi na mropokaji kupindukia gentleman 🐒Comrade tulitimia cv ipi kumchaguz kamati kuu ya CCM Taifa!!?
yaani mtu anafanya uzinzi na anajirekodi kabisaa, halafu hapo unahukumu nini gentleman wakati mwenyewe anajitambulisha kwa video kwamba ni mzinzi?🐒Unahukumu wewe ni Mungu, hizi laana mnachuma zitatafuna vizazi na vizazi vyenu niwambieni,
OK tukutane kananiyaani mtu anafanya uzinzi na anajirekodi kabisaa, halafu hapo unahukumu nini gentleman wakati mwenyewe anajitambulisha kwa video kwamba ni mzinzi?🐒