Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."
Chanzo: Swahili Times
Sura ya watekaji hiiJumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:

Ungekuwa Msikiti usingefungiwaJumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao."
Chanzo: Swahili Times
jitu zinzi na liongo kama hilo haliwezi mtumishi wa Mungu, huenda ni wakala wa shetani 🐒Ili apewe masharti:
1. Kumsifia mama.
2. Nabii wa Mungu kuridhia kuikaba Imani kuvaa rasmi u Lucas Mwashambwa au u matunduizi au u Tlaatlaah.
Kwani kina Meshach, Shedrack, Daniel, au Abednego ilikuwa je?
Aluta continua!
Huwa wanakufa vibaya!Upolisi laana sana
Kuna makanisa haiwezekani hata kuyafungia maana yapo nchi nzima na duniani.Huu ni mtego. Gwajima asikate rufaa. Wanataka akate rufaa ili wamsumbue.
Gwajima akikubali kukata rufaa kesho watafungia Katoliki, Lutheran au Anglican kisha wawambie wakate rufaa.
Gwajima kazia hapo hapo, hakuna kukata rufaa
Kifo si ni kifo boss?Huwa wanakufa vibaya!
Wengine wawili walipigwa na radi kule mererani.
Yeye ni speaker ana kosaHuyu jamaa atakufa vibaya, ajifunze kunyamaza.
Vifo vyao hata maji hawapati nafasi ya kuyanywaKifo si ni kifo boss?
Wakitaka wanafungia. Hata Magufuli alitishia kufungia LutheranKuna makanisa haiwezekani hata kuyafungia maana yapo nchi nzima na duniani.