Jumanne Muliro: Askofu Gwajima akitaka, akate rufaa (rufaa inakatwa kwa Waziri Bashungwa)

Upolisi laana sana
Polisi huwa mnawalaumu bure aisee!Ifikie wakati muwaoneshe polisi 3rd law of motion,waone na wajue kuwa kwa nguvu ileile wanayoitumia wakutane na nguvu sawia.Hii tabia ya kulialia kila siku kuomba huruma kwenye injustice haiwez kamwe kukomesha uonevu.Do you think jamii ya kisomali ama kikalee ama Sudan ama Rwanda unaweza wafanyie namna hii!?
 
Endeleza mafumbo kanisa ndo lishafungwa akatoe press makao makuu chadema
Hata maandiko unaita mafumbo? Mungu akusamehe haujui utendalo hivi hii Chuki kwa wengine mnadhani inasaidia nini? CDM inaingiaje hapa Nchi ni kama yenu peke yenu vile mnaona mna hati miliki? Tutakufa tutaacha dunia na kila kilichopo na tulivyonavyo
 
Hivi kama kakosa gwajima kulikua na haja gani ya kufunga kanisa
 
Huu ni mtego. Gwajima asikate rufaa. Wanataka akate rufaa ili wamsumbue.
Gwajima akikubali kukata rufaa kesho watafungia Katoliki, Lutheran au Anglican kisha wawambie wakate rufaa.

Gwajima kazia hapo hapo, hakuna kukata rufaa
Serikali ina ubavu wa kuwafungia makanisa haya madogo lakini haya ya kitaasisi hawana huo ubavu.
 
unadhani drama, uropokaji na uopotoshaji utayumbisha waTanzania wasipate maendeleo gentleman ?🐒
Maendeleo yapi na upotoshaji upi?! Sio lazima utetee kila jambo.
Tanzania tunasapoti ustawi wa kikundi fulani cha watu serikalini na sio ustawi wa watanzania. Very wrong.
 
shida ni kwamba bashungwa ni mkatoliki, hata kama both tunaumizwa ila wakatoliki nao na walokole hawakai pamoja.l though kitima kapigwa, ningeshauri wakatoliki wawashughulikie hao waumini wao wanaosapoti unyanyasaji, wawafukuze au wawanyime sakrament, manake ndicho kitakachowafundisha. hao kina bashungwa wamefanya nini kukemea mateso ya kitima? na wanapotishia kuchunguza makanisa yanayokosoa serikali katholic mojawapo limekosoa ina maana wanataka kukosoa sehemu wanayoendaga kusali? mapadre na maaskofu mpo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…