Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo yatarud tukula raha mamy !nimemiss mno maisha hyo aisee najua ndo hayatarudi tena !
Kwanini yasirudi mamy?
Hahaaaaa nisamehe mziguaUlitaka nianzishe uzi nimepanda fisi kama wewe?
Maisha yenyewe mafupi haya konga nyoyo DadaHuyu Dj hapa Waungwana Pub ananikosha sana mpaka ananifanya nisahau kama kesho siku ya kazi.
Si bora angeniazishia hata mimi kuwa kani miss kuliko kumwanzishia huyo mpuuzWewe mbona unaanzishaga nyuzi zako kuna anayekusema bundle lake simu yake mwacheni na uzi wake hajatumwa yeyote kuja kucomment
Beibehuo muda wa kukaa kula miziki !lol! bas tu kuna maisha huwa tunayamiss mnooooooooo
Beibe
Hahaaaa hapana sikuchokoz nataka nikupeleke kwenye dunia nyingine kabisa ambayo iko chin ya bahar tukaponde rahaPoa tu. Naona unanichokoza mkuu
Wahudumu wa pale wanatoa sana ushurikiano kwa wakware...Aisee hapo wana kitimoto safi sana! Napaelewaaa, ila hao wahudumu wa hapo hawajiuzi kweli maana si kwa vivazi wanavyovivaa
Sasa mkuu bila picha ya hapo ulipo wala uzi haupendeziNdio mkuu. Sitaki mseme RIP mshindwe hata cha kukumbukia msibani. Maisha ndio haya haya
Pole sana, mzee au vyuma vimekaza?kula raha mamy !nimemiss mno maisha hyo aisee najua ndo hayatarudi tena !