Jumanne Ya Dar

Jumanne Ya Dar

Hivi Lily bado anahudumia hapo? Huwa akinihudumia nyagi huwa silewi kabisa...

Kuna kaufundi Mungu alikatendea muujiza kwa huyu mtoto...
Hahahahaa. Hadi majina unawajua? we utakua zaidi ya "mteja wa pombe"
 
Hicho ndo kitu cha kuanzisha uz hapa acha mambo yako bas

Ivi nyie watu wa dar nan aliyewaloga si wa kike wala wa kiume

Ngoja makao makuu yarud dom mnyoke

watu wa dar mna matatizo sana

😀😀😀😀 nipe tano aisee....
 
Back
Top Bottom