Jumanne Ya Dar

Aisee hapo wana kitimoto safi sana! Napaelewaaa, ila hao wahudumu wa hapo hawajiuzi kweli maana si kwa vivazi wanavyovivaa
Kitimoto yao ndo iliyonileta hapa sijui wanaipikaje maana tamu hatari
 
Wewe mbona unaanzishaga nyuzi zako kuna anayekusema bundle lake simu yake mwacheni na uzi wake hajatumwa yeyote kuja kucomment
Si bora angeniazishia hata mimi kuwa kani miss kuliko kumwanzishia huyo mpuuz
 
Hahaaaa hapana sikuchokoz nataka nikupeleke kwenye dunia nyingine kabisa ambayo iko chin ya bahar tukaponde raha
Akaaaaaa. Mambo ya ulozi mie siwezi. Mi nambie mambo ya bata tutaelewana. Kwanza chini ya bahari mdudu hakupatani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…