Nimekaribia kurud nikuletee nini na nini
haswaaaaaaaaPole sana, mzee au vyuma vimekaza?
kila kitu mumeNimekaribia kurud nikuletee nini na nini
Ndo ukubwa huo....haswaaaaaaaa
Ya kwako ndio ingekuwa nzuri zaidiMkuu unataka niwapige watu picha nipigwe
Ndo ukubwa huo....
Kila kitu kipo huko awe mdudu au nan kila kitu kipo yaan full shangweAkaaaaaa. Mambo ya ulozi mie siwezi. Mi nambie mambo ya bata tutaelewana. Kwanza chini ya bahari mdudu hakupatani
Muulize mama sabrina anapajua nilimplekaAkaaaaaa. Mambo ya ulozi mie siwezi. Mi nambie mambo ya bata tutaelewana. Kwanza chini ya bahari mdudu hakupatani
Naona unajihami mkuu!Wahudumu wa pale wanatoa sana ushurikiano kwa wakware...
Ila mi si mmoja wao....
Dar pande zip?Hii mara ya pili nakuja hapa. Music wake na mdudu wa hapa navikubali sana.
Haya beibe ngoja ninunue amarula hapa ile kubwa ili leo tusilale mapema mke wangukila kitu mume
Shhiiiii.... utatujazia nzi bhana...Naona unajihami mkuu!
Ila wako vizurii!! Misambwanda ya kuvunja chaga
Haya beibe ngoja ninunue amarula hapa ile kubwa ili leo tusilale mapema mke wangu
Hivi Lily bado anahudumia hapo? Huwa akinihudumia nyagi huwa silewi kabisa...Nje ntiti ndani ntiti
Hahahaa, babuu naona yaliyomo yamoShhiiiii.... utatujazia nzi bhana...
Huyu Dj hapa Waungwana Pub ananikosha sana mpaka ananifanya nisahau kama kesho siku ya kazi.
mzigua mimi nakupenda sana swaga zako toka kitambo, huyo dj achana nae, njoo tujumuike pamoja namiNje ntiti ndani ntiti
Ahahhaha ndio hapo sipati picha angekuwa mello yeye nyuzi zake za hovyoo sijui huwa haoni au ndio nyani haoni kunduleWakunyumba unaijua payo? sasa ndo anayo huyu sijui aitwaje. Bundle langi muda wangu bado anipangie cha kupost inahusu. Apambane na hali yake