Jumanne Ya Dar

Wahudumu wa pale wanatoa sana ushurikiano kwa wakware...

Ila mi si mmoja wao....
Kaka, kakaa.....nikjona jnabamisha ambulance za ofisi ya rais, nakuangalia tu...unasogezea Mapambano....
 
Hivi Lily bado anahudumia hapo? Huwa akinihudumia nyagi huwa silewi kabisa...

Kuna kaufundi Mungu alikatendea muujiza kwa huyu mtoto...
Hahahahaa. Hadi majina unawajua? we utakua zaidi ya "mteja wa pombe"
 
Ahahhaha ndio hapo sipati picha angekuwa mello yeye nyuzi zake za hovyoo sijui huwa haoni au ndio nyani haoni kundule
Ubinadamu kazi sana wakunyumba
 
Hicho ndo kitu cha kuanzisha uz hapa acha mambo yako bas

Ivi nyie watu wa dar nan aliyewaloga si wa kike wala wa kiume

Ngoja makao makuu yarud dom mnyoke

watu wa dar mna matatizo sana

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nipe tano aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…