Jumanne Ya Dar

Jumanne Ya Dar

Hicho ndo kitu cha kuanzisha uz hapa acha mambo yako bas

Ivi nyie watu wa dar nan aliyewaloga si wa kike wala wa kiume

Ngoja makao makuu yarud dom mnyoke

watu wa dar mna matatizo sana
 
Hicho ndo kitu cha kuanzisha uz hapa acha mambo yako bas

Ivi nyie watu wa dar nan aliyewaloga si wa kike wala wa kiume

Ngoja makao makuu yarud dom mnyoke

watu wa dar mna matatizo sana
Wewe mbona unaanzishaga nyuzi zako kuna anayekusema bundle lake simu yake mwacheni na uzi wake hajatumwa yeyote kuja kucomment
 
Wewe mbona unaanzishaga nyuzi zako kuna anayekusema bundle lake simu yake mwacheni na uzi wake hajatumwa yeyote kuja kucomment
Wakunyumba unaijua payo? sasa ndo anayo huyu sijui aitwaje. Bundle langi muda wangu bado anipangie cha kupost inahusu. Apambane na hali yake
 
Aisee hapo wana kitimoto safi sana! Napaelewaaa, ila hao wahudumu wa hapo hawajiuzi kweli maana si kwa vivazi wanavyovivaa
 
Back
Top Bottom