MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
Na pombe yenye sukari kalii kama hiyo sioo poaVina sukari kali sana pamoja na harufu sijui ni ya zabibu [emoji38]
Bora nibaki na konyagi na k vant tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pombe yenye sukari kalii kama hiyo sioo poaVina sukari kali sana pamoja na harufu sijui ni ya zabibu [emoji38]
Bora nibaki na konyagi na k vant tu
Mimi nilikuwa nime zoea na kunywa ndo naenda kulaa mpaka na leoo yanii hat kaMa,ikitokea nasema labda baadae nitaenda kula vikalii basii nikila tu jua story imeisha siendi mahalii.Ohooooo.....next time upige menu ya maana mkuu usije ukakata moto
Dawa ya kumwachisha mtu pombe ni bangi tu! Akivuta mara mara 3 siku tofautitofauti lazima awe ni mwonjaji wa pombe na sio mnywaji. Pombe inamkataa automaticChukua tangawizi isage pamoja na ndizi mbivu na mtindi wa baridi
Kunywa itapungua endelea kuvumilia tu mpaka itaisha
Itabidi nitest Cha RDawa ya kumwachisha mtu pombe ni bangi tu! Akivuta mara mara 3 siku tofautitofauti lazima awe ni mwonjaji wa pombe na sio mnywaji. Pombe inamkataa automatic
Nilikuwa nikinywa pombe nyingi lakini kipindi fulani nikatest hii kitu pombe ikanikataa yenyewe. Juzi nikiwa naperuzi nikakuta pia Wikipedia wameielezea bangi kuwa ni dawa ya kumwachisha mtu pombeItabidi nitest Cha R
Hii machineeK vant iko pahali yake..
Sio mchezo mkuuHii machinee
Sema kama siku ukiona huna pesa gonga double kick zikuwekee juuuuuuSio mchezo mkuu
Hahahaha hiyo hapana..Sema kama siku ukiona huna pesa gonga double kick zikuwekee juuuuuu