Jumapili hii imepoa sana bora nikajinywee dabo kick zangu nitulie

Jumapili hii imepoa sana bora nikajinywee dabo kick zangu nitulie

Ohooooo.....next time upige menu ya maana mkuu usije ukakata moto
Mimi nilikuwa nime zoea na kunywa ndo naenda kulaa mpaka na leoo yanii hat kaMa,ikitokea nasema labda baadae nitaenda kula vikalii basii nikila tu jua story imeisha siendi mahalii.
 
Chukua tangawizi isage pamoja na ndizi mbivu na mtindi wa baridi

Kunywa itapungua endelea kuvumilia tu mpaka itaisha
Dawa ya kumwachisha mtu pombe ni bangi tu! Akivuta mara mara 3 siku tofautitofauti lazima awe ni mwonjaji wa pombe na sio mnywaji. Pombe inamkataa automatic
 
Nimekaa tu hapa nawaangalia vijana mnavyo haribu jina la pombe, na kama mmeshindwa kuheshimu vinywaji vya maana afadhali mtupishe aiseeee...[emoji3525]
 
Nimekaa tu hapa nawaangalia vijana mnavyo haribu jina la pombe, na kama mmeshindwa kuheshimu vinywaji vya maana afadhali mtupishe aiseeee...[emoji3525]
751EBB81-DE03-4710-BFFD-35456CD69C95.jpeg
karibu
 
Back
Top Bottom