Jumapili iliyopita mke wangu ameniadhirisha mno kanisani

Mkuu kanisa ni hekalu takatifu, sehemu inayohitaji unyenyekevu, kwanza kitendo Cha kuwa na earphones masikioni wakati ibada inaendelea, inaonesha ni jinsi gani hauko serious.

Na pia kitendo Cha kufanyiana utani wa kimahaba huku mmempakata G wenu mnaonesha jinsi mlivyo watupu kichwani.

Anyway labda iwe chai kama baadhi ya comments zinavyodai
 
Hahahh sasa mkuu ni hicho tu mpaka umeleta uzi hapa inaonekana umechukia kweli kweli eniwei sio mbaya sikuizi hata wachungaji wakitoka makanisani majumbani mwao huwa wanafungulia rege.
 
Rudia kusoma!
 
Mungu akitaka kukuponya hutumia njia yeyote kukuponya, sasa upo kanisani upo bize na airphone za nini. utamwona mke wako amekukosea sana ila kabla hujatazama boriti lililo kwenye jicho la mke wako, ng'oa kwanza la kwako. Mke wako amekuponya hutorudia hilo tena, ulipaswa kumshukuru, na kama hutomshukuru leo, utamshukuru kesho.
 
We nae ww kama ulikua unataka kusikiliza pesa madafu si ungeenda baa au club..... Mke wako kakupa funzo mchukie usimchukie aibu kwako
 
Ahahaha nimecheka sana "Hovyo kabisa"
 
Tatizo una pesa ya madafu ungekuwa na hela asingekufanyia hvyo.
 
Kama ulijua ni udhalilishaji wewe ulienda kusikilizia kanisani ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…