Jumapili tarehe 18, November 2018 Kocha Amunike wa Taifa Stars asiponipangia hiki Kikosi ninachokiamini basi ni bora tu tufungwe na tukose AFCON

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Salum Abubakar
9. Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya

Kwa Kikosi hiki nina uhakika tena wa 100% kuwa Lesotho ' anapigika ' pale pale Kwao na kwa mara ya pili katika Historia Taifa Stars itashiriki Michuano ya Mataifa huru ya Afrika ( AFCON ) Na namwomba Kocha Amunike asifanye ' Sub ' yoyote bali hawa hawa Wacheze mwanzo mwisho.

Asipopanga hiki Kikosi nahama na nawashangilia rasmi Lesotho. Naomba aliye karibu na Kocha Amunike au na Rais wa TFF au Benchi lao la Ufundi au aliye karibu na Msemaji wa TFF Ndimba amtumie hiki Kikosi na awaambie kuwa GENTAMYCINE ndiyo nimesema Kipangwe kama nilivyokiweka hapo na ikiwa vinginevyo nitakuwa Mshabiki wa Lesotho kwa muda.

Nawasilisha.
 
Shabiki anataka apangiwe kikosi chake, sijui kila shabiki akipanga kikosi chake itakuwaje

Umecheza mpira Kwanza? Naomba tuanzie hapa tafadhali. Na kama ndiyo ni wa Kiwango gani? Manake kuna wengine hadi hivi Watu wakionana na Sisi wanatushangaa kwanini tuliacha Kucheza mpira au hadi sasa hatuchezei Liverpool FC au FC Barcelona au PSG kwa jinsi tulivyokuwa tunacheza mpira wa Kiwango cha juu. Sijui kwanini GENTAMYCINE niliacha mpira kwani nina uhakika hadi hivi sasa Mchezaji kama Ngolo Kante angekuwa anasubiri Kwangu. Wewe mpaka Mtu unapewa jina la Utani la Veron unadhani nilikuwaje enzi hizo?
 
hata singano anaitwa Messi.
 
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Salum Abubakar
9. Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya

Kwa Kikosi hiki nina uhakika tena wa 100% kuwa Lesotho ' anapigika ' pale pale Kwao na kwa mara ya pili katika Historia Taifa Stars itashiriki Michuano ya Mataifa huru ya Afrika ( AFCON ) Na namwomba Kocha Amunike asifanye ' Sub ' yoyote bali hawa hawa Wacheze mwanzo mwisho.

Asipopanga hiki Kikosi nahama na nawashangilia rasmi Lesotho. Naomba aliye karibu na Kocha Amunike au na Rais wa TFF au Benchi lao la Ufundi au aliye karibu na Msemaji wa TFF Ndimba amtumie hiki Kikosi na awaambie kuwa GENTAMYCINE ndiyo nimesema Kipangwe kama nilivyokiweka hapo na ikiwa vinginevyo nitakuwa Mshabiki wa Lesotho kwa muda.

Nawasilisha.
Samata VP or hata kuepo
 
Why not, ila umemjulisha Amunike? Lazima atayaangalia maoni yako kwa jicho la makini..
 
Unaonekana una roho mbaya sana uwanjani mkuu
Umecheza mpira Kwanza? Naomba tuanzie hapa tafadhali. Na kama ndiyo ni wa Kiwango gani? Manake kuna wengine hadi hivi Watu wakionana na Sisi wanatushangaa kwanini tuliacha Kucheza mpira au hadi sasa hatuchezei Liverpool FC au FC Barcelona au PSG kwa jinsi tulivyokuwa tunacheza mpira wa Kiwango cha juu. Sijui kwanini GENTAMYCINE niliacha mpira kwani nina uhakika hadi hivi sasa Mchezaji kama Ngolo Kante angekuwa anasubiri Kwangu. Wewe mpaka Mtu unapewa jina la Utani la Veron unadhani nilikuwaje enzi hizo?
 
Umecheza mpira Kwanza? Naomba tuanzie hapa tafadhali. Na kama ndiyo ni wa Kiwango gani? Manake kuna wengine hadi hivi Watu wakionana na Sisi wanatushangaa kwanini tuliacha Kucheza mpira au hadi sasa hatuchezei Liverpool FC au FC Barcelona au PSG kwa jinsi tulivyokuwa tunacheza mpira wa Kiwango cha juu. Sijui kwanini GENTAMYCINE niliacha mpira kwani nina uhakika hadi hivi sasa Mchezaji kama Ngolo Kante angekuwa anasubiri Kwangu. Wewe mpaka Mtu unapewa jina la Utani la Veron unadhani nilikuwaje enzi hizo?
Pale BLOCK 41 nilikuwa na rafiki yangu anaitwa VERON - fundi wa kuchora safari za mbele kwa vijana! Daah ila Mkuu yule mtu wa kuitwa Juan Sebastian VERON acha kabisa! Unanikumbusha Chelsea hiyo! Pale mbele kulikuwa na kiumbe "Hernan Crespo" afu pale kati kulikuwa na Mwamba geu "Makelele" mmatumbi mwenzangu alieshindikana Madrid!
 
Mkuu Ktk kikosi chako, mtoto wa Mao Mkami hapati namba?
 
Ulimwengu wa nini hapo

Chezaji creativity 0
Yeye nguvu nguvu tu
Utafikiri bulldozer au wale ng'ombe wa kispaniola wanaokimbiza watu hovyo .

Kisha hapo Toa mkude weka Fei toto Afcon takuwa lazima
 
Back
Top Bottom