Jumapili tarehe 18, November 2018 Kocha Amunike wa Taifa Stars asiponipangia hiki Kikosi ninachokiamini basi ni bora tu tufungwe na tukose AFCON

Jumapili tarehe 18, November 2018 Kocha Amunike wa Taifa Stars asiponipangia hiki Kikosi ninachokiamini basi ni bora tu tufungwe na tukose AFCON

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Salum Abubakar
9. Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya

Kwa Kikosi hiki nina uhakika tena wa 100% kuwa Lesotho ' anapigika ' pale pale Kwao na kwa mara ya pili katika Historia Taifa Stars itashiriki Michuano ya Mataifa huru ya Afrika ( AFCON ) Na namwomba Kocha Amunike asifanye ' Sub ' yoyote bali hawa hawa Wacheze mwanzo mwisho.

Asipopanga hiki Kikosi nahama na nawashangilia rasmi Lesotho. Naomba aliye karibu na Kocha Amunike au na Rais wa TFF au Benchi lao la Ufundi au aliye karibu na Msemaji wa TFF Ndimba amtumie hiki Kikosi na awaambie kuwa GENTAMYCINE ndiyo nimesema Kipangwe kama nilivyokiweka hapo na ikiwa vinginevyo nitakuwa Mshabiki wa Lesotho kwa muda.

Nawasilisha.
Mikia FC bana.
 
Baada ya timj kuwa na uhakika wa ushindi ndo aingie Fei. Huyu dogo ni kama Denilison wa brazil hawana madhara zaidi ya kuuficha mpira. Ila kwe kupambana kupata ushindi hawezi
 
Weka holding midfielders wawili, Himid Mao na Mkude, mbele yao muweke FEI toto na Bocco.
 
Nilichogundua kutokana na mjadala huu ni kwamba tuna vipaji vingi sana! Ni namna tu ya kuviunganisha.
 
Kwenye back four mimi ningeanza na Mohamed husseien Zimbwe.

Kwenye midfield ningecheza na Mkude kama holding Himid kulia kwake na Mudathir kushoto kwake

Kisha ningeshambulia na Msuva kulia Bocco anasimama Na Shabani Idd Chilunda.

4 3 3 naona ingeweza kutusaidia Sana
 
Ajibu unamwekaje hajaitwa ..kaitwa Sammata na Hajaenda... Ujinga huu eti unamwita kwenda kuhamasisha.. Wakati club yake inajua kabisa hatocheza. Wamemzuia kumpa ruhusa.... Tuna ujinga mwingi sana
hahahahaha aisee nimekua najiuliza sana kwanini samatta ameitwa wakati hatocheza? KUMBE NI UJINGA TU!!!? hii nchi sijui ni nani alie tuloga, ngoja tusubili kulaumiana
 
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Salum Abubakar
9. Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya

Kwa Kikosi hiki nina uhakika tena wa 100% kuwa Lesotho ' anapigika ' pale pale Kwao na kwa mara ya pili katika Historia Taifa Stars itashiriki Michuano ya Mataifa huru ya Afrika ( AFCON ) Na namwomba Kocha Amunike asifanye ' Sub ' yoyote bali hawa hawa Wacheze mwanzo mwisho.

Asipopanga hiki Kikosi nahama na nawashangilia rasmi Lesotho. Naomba aliye karibu na Kocha Amunike au na Rais wa TFF au Benchi lao la Ufundi au aliye karibu na Msemaji wa TFF Ndimba amtumie hiki Kikosi na awaambie kuwa GENTAMYCINE ndiyo nimesema Kipangwe kama nilivyokiweka hapo na ikiwa vinginevyo nitakuwa Mshabiki wa Lesotho kwa muda.

Nawasilisha.

Inaonyesha jamaa kwao ndio msema chochote, maana sio kwa kujiona Mungu mtu, eti mtoa post, kipi kinakufanya UJIONE ndiye msemaji wa watanzania wote, who are you, who the hell are you? Takataka kbsa
 
Ajibu unamwekaje hajaitwa ..kaitwa Sammata na Hajaenda... Ujinga huu eti unamwita kwenda kuhamasisha.. Wakati club yake inajua kabisa hatocheza. Wamemzuia kumpa ruhusa.... Tuna ujinga mwingi sana
Hamasa ni muhimu Mkuu.... Waganda wamemuita OKWI wakati na yeye kama Samatta tu, hatacheza v Cape Verde! Wazungu wa KRC Genk nao wamekosea... hata km wamemzuia Samatta kusafiri, hakuna games mpk international break iishe....!
 
Baada ya Kapombe kupata majeraha..
1. Manula
2. Nyoni
3. Gadiel
4. A.Moris
5. Yondani
6. Mkude
7. Ulimwengu
8. H.Mao
9. Bocco
10. Msuva
11. Kichuya
 
Back
Top Bottom