Jumapili tarehe 18, November 2018 Kocha Amunike wa Taifa Stars asiponipangia hiki Kikosi ninachokiamini basi ni bora tu tufungwe na tukose AFCON

Jumapili tarehe 18, November 2018 Kocha Amunike wa Taifa Stars asiponipangia hiki Kikosi ninachokiamini basi ni bora tu tufungwe na tukose AFCON

Ulimwengu Hana tofauti na Lukaku, poor lukaku poor ulimwengu!
 
Pale BLOCK 41 nilikuwa na rafiki yangu anaitwa VERON - fundi wa kuchora safari za mbele kwa vijana! Daah ila Mkuu yule mtu wa kuitwa Juan Sebastian VERON acha kabisa! Unanikumbusha Chelsea hiyo! Pale mbele kulikuwa na kiumbe "Hernan Crespo" afu pale kati kulikuwa na Mwamba geu "Makelele" mmatumbi mwenzangu alieshindikana Madrid!

Nilikuwa ' naupiga ' Veron mwenyewe alikuwa anasubiri Mkuu. Nikipangwa Beki au wa Kushoto utanipenda na nikisimamishwa Beki wa Kati namba Nne ndiyo ' balaa ' na Utamu zaidi nikiambiwa ' nikichafue ' kabisa nicheze Kiungo cha Ukabaji Timu nzima itatembea hadi raha Mkuu. Sema tu niliendekeza mno ' Mbunye ' halafu na mambo ya Elimu nayo yalinibana sana huku ' Wazazi ' nao wakikazia nisome. Na kama kuna Mchezaji ambaye alinifanya niijue vyema Kuicheza hiyo namba na mara kwa mara nilikuwa nikimuiga basi alikuwa ni Rafiki yangu na Mchezaji wangu ninayempenda na kumkubali sana na Nahodha wa Kihistoria ndani ya Klabu ya Simba Kaka Suleiman Abdallah Matola a.k.a Mzambia a.k.a Veron.
 
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Salum Abubakar
9. Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya

Kwa Kikosi hiki nina uhakika tena wa 100% kuwa Lesotho ' anapigika ' pale pale Kwao na kwa mara ya pili katika Historia Taifa Stars itashiriki Michuano ya Mataifa huru ya Afrika ( AFCON ) Na namwomba Kocha Amunike asifanye ' Sub ' yoyote bali hawa hawa Wacheze mwanzo mwisho.

Asipopanga hiki Kikosi nahama na nawashangilia rasmi Lesotho. Naomba aliye karibu na Kocha Amunike au na Rais wa TFF au Benchi lao la Ufundi au aliye karibu na Msemaji wa TFF Ndimba amtumie hiki Kikosi na awaambie kuwa GENTAMYCINE ndiyo nimesema Kipangwe kama nilivyokiweka hapo na ikiwa vinginevyo nitakuwa Mshabiki wa Lesotho kwa muda.

Nawasilisha.
Kichuya na ulimwengu toa
Weka chilunda
 
Mtoe salum abubakar weka ndani dilunga toa nje ulimwengu sukumizia ndani shabani Chilunda.
 
Hivi Stars wanaenda kwa basi Lethoto? Maana nimeiona gari yao hapa Mwanjelwa imebeba wachezaji......si watafika hoi.
 
Shabiki anataka apangiwe kikosi chake, sijui kila shabiki akipanga kikosi chake itakuwaje

Alipoudhi zaidi huyo Ndugu ni pale aliposema kama kikosi hicho cha kawke hakitapangwa basi ni bora Tanzania ifungwe...anyway sikushangaa kwa kauli hii na hasa ukizingatia kauli zake humu JF
 
Alipoudhi zaidi huyo Ndugu ni pale aliposema kama kikosi hicho cha kawke hakitapangwa basi ni bora Tanzania ifungwe...anyway sikushangaa kwa kauli hii na hasa ukizingatia kauli zake humu JF
labda ubaya ni kusema kikosi chake pendekezwa kisipo pangwa hatoishangilia star, but kupendekeza kikosi ni jambo zuri maana tumewaachia makocha miaka mingi sana watupangie kikosi lakin hakuna mafanikio yoyote.
 
....Manula,Kapombe,Gadiel,Yondani,Morris,Erasto,Mkude,Feisal,Msuva,Bocco,Ulimwengu..wacheze 4-3-3
 
toa Gadiel weka tshabalala,toa ulimwenhu kiwango chake kimeisha sana weka ibrahim ajib
 
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Salum Abubakar
9. Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya

Kwa Kikosi hiki nina uhakika tena wa 100% kuwa Lesotho ' anapigika ' pale pale Kwao na kwa mara ya pili katika Historia Taifa Stars itashiriki Michuano ya Mataifa huru ya Afrika ( AFCON ) Na namwomba Kocha Amunike asifanye ' Sub ' yoyote bali hawa hawa Wacheze mwanzo mwisho.

Asipopanga hiki Kikosi nahama na nawashangilia rasmi Lesotho. Naomba aliye karibu na Kocha Amunike au na Rais wa TFF au Benchi lao la Ufundi au aliye karibu na Msemaji wa TFF Ndimba amtumie hiki Kikosi na awaambie kuwa GENTAMYCINE ndiyo nimesema Kipangwe kama nilivyokiweka hapo na ikiwa vinginevyo nitakuwa Mshabiki wa Lesotho kwa muda.

Nawasilisha.

UNAPOELEKEA UTAMPANGIA NA MALAYA WA KUTEMBEA NAE HUYU NDIE HUYU SIE

KAZIKAZI
 
Back
Top Bottom