Samata VP or hata kuepo
Pale BLOCK 41 nilikuwa na rafiki yangu anaitwa VERON - fundi wa kuchora safari za mbele kwa vijana! Daah ila Mkuu yule mtu wa kuitwa Juan Sebastian VERON acha kabisa! Unanikumbusha Chelsea hiyo! Pale mbele kulikuwa na kiumbe "Hernan Crespo" afu pale kati kulikuwa na Mwamba geu "Makelele" mmatumbi mwenzangu alieshindikana Madrid!
Kichuya na ulimwengu toa1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Salum Abubakar
9. Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya
Kwa Kikosi hiki nina uhakika tena wa 100% kuwa Lesotho ' anapigika ' pale pale Kwao na kwa mara ya pili katika Historia Taifa Stars itashiriki Michuano ya Mataifa huru ya Afrika ( AFCON ) Na namwomba Kocha Amunike asifanye ' Sub ' yoyote bali hawa hawa Wacheze mwanzo mwisho.
Asipopanga hiki Kikosi nahama na nawashangilia rasmi Lesotho. Naomba aliye karibu na Kocha Amunike au na Rais wa TFF au Benchi lao la Ufundi au aliye karibu na Msemaji wa TFF Ndimba amtumie hiki Kikosi na awaambie kuwa GENTAMYCINE ndiyo nimesema Kipangwe kama nilivyokiweka hapo na ikiwa vinginevyo nitakuwa Mshabiki wa Lesotho kwa muda.
Nawasilisha.
Roho mbaya babuGadiel Michael toa, hana nguvu. Anapepesuka tu uwanjani na fito zake.
Stars wako Sauth Africa sasa hivi.Hivi Stars wanaenda kwa basi Lethoto? Maana nimeiona gari yao hapa Mwanjelwa imebeba wachezaji......si watafika hoi.
Shabiki anataka apangiwe kikosi chake, sijui kila shabiki akipanga kikosi chake itakuwaje
labda ubaya ni kusema kikosi chake pendekezwa kisipo pangwa hatoishangilia star, but kupendekeza kikosi ni jambo zuri maana tumewaachia makocha miaka mingi sana watupangie kikosi lakin hakuna mafanikio yoyote.Alipoudhi zaidi huyo Ndugu ni pale aliposema kama kikosi hicho cha kawke hakitapangwa basi ni bora Tanzania ifungwe...anyway sikushangaa kwa kauli hii na hasa ukizingatia kauli zake humu JF
Dats it dudeSilly
Binafsi huwa simkubali hasa kwenye suala la kushbulia,anaweza kukaba vizuri ila pasi na kuitoa timu nyuma anashindwaMkuu Ktk kikosi chako, mtoto wa Mao Mkami hapati namba?
Kwa hiyo Chilunda atacheza namba ya Ulimwemgu na Kichuya Asee... Hatari sanaKichuya na ulimwengu toa
Weka chilunda
1. Aishi Manula