Jumapili ya hivi raha sana

Jumapili ya hivi raha sana

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Umeamka alfajiri umeingia kwenye nyumba ya ibada hasa ibada ya kwanza kabla ya joto.
Halafu mfukoni una kiasi kidogo cha fedha angalau kununua nyama..kwa maisha yetu nyama tunakula jumapili tu.

Baada ya kununua nyama unarejea nyumbani msosi unaandaliwa. Nachukua kiradio changu pamoja na mkeka, natandika chini ya mti wa muembe pembeni nina dumu langu la mbege na enjoy upepo mwanana unaopoozwa na matawi ya migomba halafu ninasikiliza nyimbo za noten za Kwaya Kuu.

View: https://youtu.be/rJ2pwxpZzGM?si=kSQnFMXU78gdZuUS
Hapo VP

View: https://youtu.be/vYV2XeevvRY?si=U8MUZIwTtLHzIOAo
 
Umeamka alfajiri umeingia kwenye nyumba ya ibada...hasa ibada ya kwanza kabla ya joto...
Halafu mfukoni una kiasi kidogo cha fedha angalau kununua nyama..kwa maisha yetu nyama tunakula jumapili tu.
Baada ya kununua nyama unarejea nyumbani msosi unaandaliwa....nachukua kiradio changu pamoja na mkeka, natandika chini ya mti wa muembe pembeni nina dumu langu la mbege na enjoy upepo mwanana unaopoozwa na matawi ya migomba.....halafu ninasikiliza nyimbo za noten za Kwaya Kuu.

View: https://youtu.be/rJ2pwxpZzGM?si=kSQnFMXU78gdZuUS
Hapo VP

This is what we call life on earth💗💗💗
 
Alafu mbege unaizimua kidogo na Nyagi kubwa
 
Hii ndio pure life
 
Hivi sisi wanaume huwa hatuwavurugi wake zetu hadi washindwe kusali? Naona kila siku ni visa vya wanawake kuvuruga wanaume tuu.
giphy.gif
 
Umeamka alfajiri umeingia kwenye nyumba ya ibada hasa ibada ya kwanza kabla ya joto.
Halafu mfukoni una kiasi kidogo cha fedha angalau kununua nyama..kwa maisha yetu nyama tunakula jumapili tu.

Baada ya kununua nyama unarejea nyumbani msosi unaandaliwa. Nachukua kiradio changu pamoja na mkeka, natandika chini ya mti wa muembe pembeni nina dumu langu la mbege na enjoy upepo mwanana unaopoozwa na matawi ya migomba halafu ninasikiliza nyimbo za noten za Kwaya Kuu.

View: https://youtu.be/rJ2pwxpZzGM?si=kSQnFMXU78gdZuUS
Hapo VP

Mara ghafla ukiwa imetulia, anatokea mchepuko wako anakuletea zogo, umpe hela ya matumizi, siku tatu zote umempiga block kwenye simu yake
 
Back
Top Bottom