Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Habari zanu wakuu? Leo nimeamini watu wanapenda sana ubuyu. Anyways, jumapili imekuwa tamu sana licha ya kelele za hapa na pale.
Niko poa kabisa umesha suka mkeka wako?Vipi ponjoro uko poa?
Tafuta hela.Ropoka tena mkuu, mbona kinyonge hivyo? 😎
Habari zanu wakuu? Leo nimeamini watu wanapenda sana ubuyu. Anyways, jumapili imekuwa tamu sana licha ya kelele za hapa na pale.
Natamani nisuke Ponjoro ila nikiwaza kuwa nakunifaisha wewe na kukupa hela kuhonga ili urudi mjengoni nakosa nguvu kabisaNiko poa kabisa umesha suka mkeka wako?
Zipo za kukulisha wewe mpaka na watoto wako ulio wazika.😎Tafuta hela.
Kuna nini?![]()
1.7M views · 10K reactions | Gwajima atishia kuanika madudu ya kutisha endapo watekaji wataendelea kumfata fata | Habari 24
Gwajima atishia kuanika madudu ya kutisha endapo watekaji wataendelea kumfata fatawww.facebook.com
Aanike chapu tuwe na nakala![]()
1.7M views · 10K reactions | Gwajima atishia kuanika madudu ya kutisha endapo watekaji wataendelea kumfata fata | Habari 24
Gwajima atishia kuanika madudu ya kutisha endapo watekaji wataendelea kumfata fatawww.facebook.com
Weka mkeka mkuu acha uoga.Natamani nisuke Ponjoro ila nikiwaza kuwa nakunifaisha wewe na kukupa hela kuhonga ili urudi mjengoni nakosa nguvu kabisa
Nimeikumbuka hii IDKuna nini?
Hebu tuambie kuhusu elimu yako kabla ya kuliamsha dude..........ulipataje degree yako na zile certificate maana sijaelewa .........?? Au na wewe ndio umeamua kuunga mkono juhudi za mwenyekiti maana na yeye elimu yake aieleweki hata kidogo mpaka kufikia daktari..........ufafanuzi tafadhali..........na ndio maana mnaona degree hazina faida maana hamna za halali eti ukitoka udsm uende VETA ........NYIEÈEEEEEE MTAKUFA KIFO KIBAYA SANA
Nini kimetokea huko?Habari zanu wakuu? Leo nimeamini watu wanapenda sana ubuyu. Anyways, jumapili imekuwa tamu sana licha ya kelele za hapa na pale.
Ponjoro kama PonjoroHabari zanu wakuu? Leo nimeamini watu wanapenda sana ubuyu. Anyways, jumapili imekuwa tamu sana licha ya kelele za hapa na pale.
View attachment 3352863inaonekana anakipaji kikubwa sana..ndani ya mwaka mmoja anakunja cheti safi kabisa