Jumapili ya leo imekuwa njema na yapekee sana

Unatembea na upepo wa huku na upo zako mwembe chai kwa mama kibongo unapiga zako ugimbi, ene wei yote maisha tu.
 
Hebu tuambie kuhusu elimu yako kabla ya kuliamsha dude..........ulipataje degree yako na zile certificate maana sijaelewa .........?? Au na wewe ndio umeamua kuunga mkono juhudi za mwenyekiti maana na yeye elimu yake aieleweki hata kidogo mpaka kufikia daktari..........ufafanuzi tafadhali..........na ndio maana mnaona degree hazina faida maana hamna za halali eti ukitoka udsm uende VETA ........NYIEÈEEEEEE MTAKUFA KIFO KIBAYA SANA
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…