Hahahaaa ID mpya ndani ya JF. Hii ndio maana naipenda JF.Habari zanu wakuu? Leo nimeamini watu wanapenda sana ubuyu. Anyways, jumapili imekuwa tamu sana licha ya kelele za hapa na pale.
Imefanya niniNimeikumbuka hii ID
Mimi ni genius mkuu.Ponjoro chuo ulisoma kama gazeti?