Jumatatu napanda ndege kwa mara ya kwanza

Kila siku tunajifunza kiongozi sio mimi nais pia kuna washamba kama mimi humu hivo elimu itasaidia wengi
Hii si elimu chochote bali mashauzi tujue umepanda ndege tena kwa kuchelewa mwanangu. Anyway, i respect your choice and views altogether. Enjoy
 
Asante kwa dondoo hizi nilikuwa sijui chochote Vipi kuhusu cash utaakiwa kuwa na tsh ngapi mfukoni je viburungutu vinaruhusiwa?
 
Guyz kama title unavyo eleza napanda ndege kwa mara ya kwanza maishani ..Naomba Abc za kuzingatia
Ndege sii daladala wala boda boda,kuachwa nje nje na hamna kudai nauli!
 
Kawaida sana hata hakuna la ajabu we kufuata tu maelekezo basi kuwa busy na simu yako
 
Siku ukiamua kubadili usafiri kama wa kupaa usiku na ungo nishtue pia nikupe abc zake
 
Guyz kama title unavyo eleza napanda ndege kwa mara ya kwanza maishani ..Naomba Abc za kuzingatia
Usipende kunya ovyo zingatia.Hakikisha ukitoka nyumbani umeacha yote ya tumboni.
 
Lingine, ukiwa ardhini mawingu unayaona juu ila ukiwa kwenye ndege mawingu utayaona kwa chini. Usishangae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…