Jumba bovu la Rais Samia sasa liko hapa

Jumba bovu la Rais Samia sasa liko hapa

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ama kwa hakika hali ya jumba bovu aliloliongelea Mama Samia inazidi kudoda:

Siasa ni mchezo mchafu ambao ni muhimu kwa mama kutambua kuwa kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya mchezo wenyewe.

Inafahamika kuwa wapambe hawajawahi kuwa sehemu ya kuangukiwa na majumba ya namna hii.

Mara zote wao ndiyo wenye kuukaanga mbuyu. Hawaaminiki.

Umdhaniaye siye ndiye!

Yaliwakuta kina Jumbe, Salmin, Lowassa na wengi wengine Dodoma. Walidhani kuwa wengi wakaishia kula na wakwao.

Ikumbukwe, mzee Sitta (rip) alienguliwa kwa kutokuwa mwanamke na ikaishia hapo.

Kwa kujikita kwenye haki, usawa na maridhiano tu Mama angevuna zaidi mno ya urais 2025 katika hali ya sasa.

Hili la Mbowe nalo, wacha tuone litakaye kuja kumwangukia.

Tutakuwapo inshallah, kukumbushana.

----------
Rais Samia, jumba bovu humwangukia wa mwisho
 
Wewe kibuguse kila siku asubuhi Mbowe, mchana Mbowe, jioni Mbowe. Aisee.

Mwongelee basi hata na baba yako.

Yaani unatamani hata baba yako angekuwa mbowe.
 
Kipindi kile cha Magu ilikuwa corona kila kukicha!

Haka kajamaa huenda kana stress sana
 
😁😁

IMG_20211206_173319_663.jpg
 
Wewe kibuguse kila siku asubuhi Mbowe, mchana Mbowe, jioni Mbowe. Aisee.

Mwongelee basi hata na baba yako.

Yaani unatamani hata baba yako angekuwa mbowe.
kwanhni kama mada umeona haina ukaacha kuchangia kuliko ulichocgangia au ukapita kimya kimya!!
 
Wasikupe taabu hao mkuu ipo namna nzuri tu ya kuwasahau kabisa na wakipumzika kwa amani 😁😁:

IMG_20211206_180430_259.jpg
 
Ama kwa hakika hali ya jumba bovu aliloliongelea Mama Samia inazidi kudoda:

View attachment 2034977

Siasa ni mchezo mchafu ambao ni muhimu kwa mama kutambua kuwa kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya mchezo wenyewe.

Inafahamika kuwa wapambe hawajawahi kuwa sehemu ya kuangukiwa na majumba ya namna hii.

Mara zote wao ndiyo wenye kuukaanga mbuyu. Hawaaminiki.

Umdhaniaye siye ndiye!

Yaliwakuta kina Jumbe, Salmin, Lowassa na wengi wengine Dodoma. Walidhani kuwa wengi wakaishia kula na wakwao.

Ikumbukwe, mzee Sitta (rip) alienguliwa kwa kutokuwa mwanamke na ikaishia hapo.

Kwa kujikita kwenye haki, usawa na maridhiano tu Mama angevuna zaidi mno ya urais 2025 katika hali ya sasa.

Hili la Mbowe nalo, wacha tuone litakaye kuja kumwangukia.

Tutakuwapo inshallah, kukumbushana.

----------
Rais Samia, jumba bovu humwangukia wa mwisho
Ukijinyea lazima ujichafue mwenyewe. La Mbowe muache alibebe Mbowe mwenyewe na asilaumu mtu.
 
Kwani waona pana analaumiwa mtu? Subiri jengo bovu liporomoke. Mbona kila mtu (akiwamo Mama) ataubeba mzigo wake mwenyewe?

Wapambe unaowasikia hawatakuwapo hata kumpa pole.
 
Linamchafua aliyepo, ni yeye aliyesema ukinizingua nakuzingua sioni kama ana lolote la kujitetea hapo.
 
Nani kakwambia alifariki kwa Corona?

Takwimu zinasema katika visa vya corona 7 ni kimoja tu kinachong'amuliwa kutokea kusini mwa sahara.

Ukizingatia pia yeye ndiye aliyekuwa kinara wa kuzuia upimaji, itakuwa kutojitendea haki kudhani kuwa huyo kirusi hakuwa na mkono kwenye kumuwahisha mbinguni huyo mpendwa wetu.
 
Frankly speaking hili ni jumba bovu among others.
 
Linamchafua aliyepo, ni yeye aliyesema ukinizingua nakuzingua sioni kama ana lolote la kujitetea hapo.

Tulipo anusubiriwa mtu mmoja aseme - su!

Wacha tusubiri.
 
Back
Top Bottom