Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

Wanaosubiri pepo watasubiri sana. Pepo ipo hapa hapa duniani na Askofu Kakobe ametuonesha kwa vitendo.

Sasa wewe muumini wa Kakobe endelea kusema utatoboa ukifika mbinguni wakati kiongozi wako katobolea hapa hapa tena Kawe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
"Sasa wewe muumini wa Kakobe endelea kusema utatoboa ukifika mbinguni wakati kiongozi wako katobolea hapa hapa tena Kawe"
 
Kazi aliyofanya ni kubwa ya kujenga Kanisa na umri wake umeenda,sasa kwa nini asimalizie maisha yake kifahari? Huu ndio muda wa yeye kufurahia matunda ya utumishi wake.
Halafu wasiojua Ni kuwa waumini Tena bila kulazimisha walijichanga wakatoa wazo nchi nzima ndo wakamjengea hiyo nyumba. Hata Mimi japo Siyo muumini Kwake nilinyoosha Mkono kidogo.. kulingana na ninavyomfahamu na mafundisho yake
 
Vijana tuache kueneza uongo usiokuwepo kama jamani [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] guys tuache hizi mambo za uongo uongo
 
Yesu akirudi kuwaona hawa wanaojiita manabii maisha wanayoishi, sambamba na yeye maisha alivyoishi. Atajikuta anacheka mwenyewe tu.

Maana atakutana na huyu Nabii anaishi kama mfalme, mara yule Nabii kamlaza kondooo kifo cha mende, sijui nani nani Nabii kafumaniwa na mke wa mtu, Nabii Rashidi kaiba kura (Nabii Mwizi). Hatari na nusu.
Mkuu kuishi kifahari Ni dhambi?? Unajua Hapa ndipo namchukia Nyerere na Sera yake ya Ujamaa... Yaani inaonekana Kama kuwa na Mali Ni kosa kubwa sana
 
Vijana tuache kueneza uongo usiokuwepo kama jamani [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] guys tuache hizi mambo za uongo uongo
Kwani tatizo Ni Nini mkuu?

Uongo uko wapi Apo?

Au unakanusha sio kwake hapo?
 
Mkuu kuishi kifahari Ni dhambi?? Unajua Hapa ndipo namchukia Nyerere na Sera yake ya Ujamaa... Yaani inaonekana Kama kuwa na Mali Ni kosa kubwa sana
Basi na waumini wake nao waishi kifahari basi
 
Mkuu kuishi kifahari Ni dhambi?? Unajua Hapa ndipo namchukia Nyerere na Sera yake ya Ujamaa... Yaani inaonekana Kama kuwa na Mali Ni kosa kubwa sana
Sio zambi kabisa mkuu, ukzingatia jamaa halipi Kodi kabisa ya serikali
Hana kabisa mazoea na TRA, NEMC, TBS WALA TFDA
 
Halafu akawaambia wale wanandoa wapande daladala na kuvaa zile lonyalonya .

Si jamani daah[emoji1][emoji849]
Ungejua Harusi za Namna hiyo zimewasaidia vijana wangapi wanaojielewa Wala usingesema... Vijana Wengi tuu wanatamani Ndoa Ila wakiangalia pa kuanzia hawaoni mwishowe wanaangukia kwenye Uzinzi na kuzalisha Jamii mbaya isiyo na maadili.. Huyo mzee msimchukulie Poa ana mafundisho flani amaizing ambayo yatakufanya uishi Maisha halisi Mungu aliyokuitia
 
Mkuu huku Siyo uwanja wako wewe twende kuleee... Hivi Kuna watu wanaishi kifahari Kama watawala wa Afrika?? Tena kwa Kodi za wananchi halafu hamuongei Huyu Jamaa kuchangiwa na Waumini wake nchi nzima Tena kwa hiyari yao.. Wamemjengea hako kanyumba Basi kelele mtindo mmoja.. mbona hamsemi Mbunge was kajimbo kadogo tuu kulipwa 230m kiinua mgongo kwa Miaka Mitaani.. na mwalimu 60m kwa Miaka 38 ya utumishi??
Basi na waumini wake nao waishi kifahari basi
 
Back
Top Bottom