Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikujibu kuwa umewekewa na picha bado kwako haijakutoshea.. so ewe tomaso uende ukaione mwenyewe.Hakika mimi ni Tomaso! Bwana Mwokozi alisema "ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni"!! Sasa unataka kusema Bwana wetu mwokozi alitupiga changa la macho, au ni hawa mitume wetu ndio hawalifuati neno la Mwokozi?!
Uliishia wapi? Ukamla ukatembea au alikukazia mazima? [emoji28]Hapana Mkuu, sema zamani nilipokuwa Dar kuna demu ndie alinifanya niwe naenda nae huko ili kumridhisha lakini ilikuwa sana kutaka kujiweka karibu na huyo demu!! Si unajua tena ujana!!
Waooh, !
Sie kondoo zake tunalala kwenye mbavu za mbwa
HakikaKiukweli mi naamin Mungu yupo Ila hawa wanaojiita manabii na mitume / wachungaji wa makanisa na maaskofu wengi wanamuwakilisha Mungu isivyo , ...wamebase Sana kwenye kutoa Mali uwape , na kujilimbikizia huku waumini wakibaki stressed na ufukara wa kutupwa ..... Aiseee mi Kwa vile naifahamu biblia so najua uhusiano wangu na Mungu anataka nini , hawa watu sio wazur sana ..... Madam Mungu ashatupa vitabu vya dini is better tukatafta uhusiano wetu na yeye privately , ...... Hawa watu wengi wao sio wazur
We unapajua vizuri...hilo bangaloo ni nomaz[emoji119][emoji119]Hiyo nyumba ni ya kifahali sana...ukijaribu kupita usiku utaona hadi madhari ya kifahali ya ndani. Ipo pale mbezi chini raibow junction ya kupandisha kuja tangi bovu kulia...imesimama hatari
[emoji16][emoji16][emoji1787]Wanaosubiri pepo watasubiri sana. Pepo ipo hapa hapa duniani na Askofu Kakobe ametuonesha kwa vitendo.
Sasa wewe muumini wa Kakobe endelea kusema utatoboa ukifika mbinguni wakati kiongozi wako katobolea hapa hapa tena Kawe
Zikifika kwake zinaitwa pesaSadaka zetu izo
Ana kiberiti kingine kiko Houston, Texas ni nuksi , balaa...Huyu mzee ni hatari kila siku napita kwenye jumba lake
Una uhakika hawaishi kifahari?Basi na waumini wake nao waishi kifahari basi
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Halafu wasiojua Ni kuwa waumini Tena bila kulazimisha walijichanga wakatoa wazo nchi nzima ndo wakamjengea hiyo nyumba. Hata Mimi japo Siyo muumini Kwake nilinyoosha Mkono kidogo.. kulingana na ninavyomfahamu na mafundisho yake
Tatizo watu huwa hawamsikilizi na story wanazoziongea inawezekana wamezisikia tu juu juu kwa watu pasi na kutenga muda kumsikiliza.Ungejua Harusi za Namna hiyo zimewasaidia vijana wangapi wanaojielewa Wala usingesema... Vijana Wengi tuu wanatamani Ndoa Ila wakiangalia pa kuanzia hawaoni mwishowe wanaangukia kwenye Uzinzi na kuzalisha Jamii mbaya isiyo na maadili.. Huyo mzee msimchukulie Poa ana mafundisho flani amaizing ambayo yatakufanya uishi Maisha halisi Mungu aliyokuitia