witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Shangaa...elimu elimu ni muhimu mnooSasa wewe ulitaka aseme kajenga yeye ili walimwengu au mamlaka ziaanze kumhoji pesa katoa wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa...elimu elimu ni muhimu mnooSasa wewe ulitaka aseme kajenga yeye ili walimwengu au mamlaka ziaanze kumhoji pesa katoa wapi ?
Teh teh...mpe mpe huyo [emoji1787][emoji16]Una mapepo ya upumbavu wewe.
Si huyu Kakobe aliyewapora mikufu ya dhahabu waumini akiwaambia kuwa dunia ni mapito hivyo wazipambe roho zao na si miili?
Si huyu Kakobe anayewadhalilisha vijana wanaofunga ndoa kanisani kwake kwakuto kuwafanyia hata tafrija akidai ndoa ni jambo la kiroho.
Ni vyema na yeye angeishi maisha ya kifukara kama kielelezo kuwa yuko safarini na dunia ni mapito.
Kwani wakija wageni wa kimataifa wakipelekwa guest house vipi?
Kanisani usiache kwenda, ila akili kumkichwa[emoji16]Nlivogundua huu ujinga nina mwaka wa 5 sasa sijaenda kanisani
Tunakuwaga tumepumbazwa, chezea power from nigeria wewe[emoji16][emoji16][emoji16]Wakristo siku zote mnajisifia ni wasomi sasa wasomi gani mnapigwa kindezi hivi? Yaani mnashindwa kabisa kugundundua hoa jamaa ni wapiga dili kwa mgongo wa dini?
Ndio tufanane, Yesu uliona akifanya hii michongo?, si hata [emoji48] alimpa kila kitu lkn akachomoaKwahiyo mlitaka aishi kinyonge?
Mungu hakukuumba uishi kinyonge.Ndio tufanane, Yesu uliona akifanya hii michongo?, si hata [emoji48] alimpa kila kitu lkn akachomoa
Sijawahi kuona sehemu yoyote mtu analazimishwa kutoa sadaka.Muumini ukikosa ada ya mtoto au pesa ya kununua gari, unaombewa!!
Ila Mchungaji yeye akikosa, anachangiwa na Waumini [emoji846][emoji846]
Ha ha ha kweli kabisa, asee inabidi utulize kichwa kuhusu hii mambo, wewe una shida unaombewa ila mchungaji haombewi anachangiwa[emoji848][emoji848]Muumini ukikosa ada ya mtoto au pesa ya kununua gari, unaombewa!!
Ila Mchungaji yeye akikosa, anachangiwa na Waumini [emoji846][emoji846]
Hujajibu swali langu madame[emoji848]Mungu hakukuumba uishi kinyonge.
Mungu alikuumba utawale dunia na vyote vilivyomo..hiyo ya kuishi kinyonge ni yako wewe.
Yesu ni Mungu,dunia na vyote vilivyomo ni Mali Yake.
Unaweza ishi masikini duniani na Mbinguni ukaenda.
Unaweza ishi kitajiri dunia na Mbinguni ukaenda.
Pia unaweza ishi kimasikini duniani na Mbinguni usiende..unaweza uishi kitajiri na mbingu usiione.
Acheni mawazo hasi,umasikini siyo sifa.
Hakuna mtu anaye entertain umasikini. Kuishi kifahari katikati ya lindi la umasikini wa waumini wako siyo ukristo huo.Mungu hakukuumba uishi kinyonge.
Mungu alikuumba utawale dunia na vyote vilivyomo..hiyo ya kuishi kinyonge ni yako wewe.
Yesu ni Mungu,dunia na vyote vilivyomo ni Mali Yake.
Unaweza ishi masikini duniani na Mbinguni ukaenda.
Unaweza ishi kitajiri dunia na Mbinguni ukaenda.
Pia unaweza ishi kimasikini duniani na Mbinguni usiende..unaweza uishi kitajiri na mbingu usiione.
Acheni mawazo hasi,umasikini siyo sifa.
Kakobe sio Nabii wala Mtume acha kukalili mamboYesu akirudi kuwaona hawa wanaojiita manabii maisha wanayoishi, sambamba na yeye maisha alivyoishi. Atajikuta anacheka mwenyewe tu.
Maana atakutana na huyu Nabii anaishi kama mfalme, mara yule Nabii kamlaza kondooo kifo cha mende, sijui nani nani Nabii kafumaniwa na mke wa mtu, Nabii Rashidi kaiba kura (Nabii Mwizi). Hatari na nusu.
Wale watu wako radicalized. Siyo watu huru kisaikolojia.Sijawahi kuona sehemu yoyote mtu analazimishwa kutoa sadaka.
Kutoa ni hiari ya mtu na mtu hutoa kutokana na Roho wa Bwana anapomuelekeza atoe.
Kuna watumishi husaidia pia wahitaji kwa hali na Mali..kila mtu na jinsi anavyoguswa.
Wewe wasema..Wale watu wako radicalized. Siyo watu huru kisaikolojia.
Ukisha m-radicalize mtu unaweza hata kumwambia ajitoe muhanga, akajitoa.
Mimi ninawafahamu watu kadhaa wanasali hapo kanisani kwake na ni matajiri hatariHakuna mtu anaye entertain umasikini. Kuishi kifahari katikati ya lindi la umasikini wa waumini wako siyo ukristo huo.
Tena kibaya zaidi kwa uwongo uongo na udanganyifu.
Muumini hana uwezo hata wa kulipia chumba cha kupanga cha elfu 20, halafu Askofu ni milionea wa sadaka.
Makanisa kama hayo huwezi kusikia yametoa hata msaada wa gunia la mahindi kwenye kituo cha watoto yatima.
Swali gani sijakujibu?au wewe ndio hujasoma majibu?Hujajibu swali langu madame[emoji848]