Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Kuishi kitajiri kwa expense ya waumini ni sawa?Mimi ninawafahamu watu kadhaa wanasali hapo kanisani kwake na ni matajiri hatari
Kuishi kitajiri kwa namna yoyote ile si dhambi.
Ingekuwa dunia inafuata hayo mawazo yako basi tungekuwa nyuma sana
... ishi kadiri ya uwezo wako
Ulitaka usikie wapi??sadaka ni siri na Aonaye sirini(Mungu) ndiye anayeona
Wewe unataka uone kama nani??si lazima uone.
Halafu Kakobe alikudanganya nini?
Hebu weka wazi hapa tujadili.