Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

Kumbe hilo somo wewe unalijua hivyo?
Kama unalijua hivyo basi umepotea.


Kama jinsi wewe unavyoguswa sehemu ya wahitaji ,unavyotoa sadaka kwa wasiojiweza vivyohivyo mtu mwingine anaguswa sehemu nyingine kutoa sadaka yake..
Kwahiyo usitake kupangia mtu mahala pa kutoa sadaka..na usiseme mtu hajitambui kwa kutoa sadaka huko.
Una uhakika umeongea na Mungu akakuambia hao watu wako brainwashed??labda Roho wa Mungu amekuonyesha mwenzetu.
Pale juu nimesema mimi nawajua watu wanasali huko na ni matajiri..kanisani kuna kila aina ya watu.


Mwisho nikwambie umasikini siyo sifa na ukiona una mawazo ya kutaka kila mtu aishi kimasikini basi jua una shida sehemu.
Mungu alikuumba ili utawale

Tuanze kwanza na somo la sadaka,inaonyesha haulijui.
Unatia porojo tu,inabidi tuende kwenye Biblia Sasa.
 
Cheki huyu kondooo,
 
Yeye maisha mazuri alafu fungisha ndoa watu za mateso wanachukuana kwa dalala na miguu.
 
Hawa vijana ni brain washed kabisa.
Mimi niliwahi kuwa mpumbavu vivyo hivyo.
Naweza kumpa pastor elfu 30 nikabakisha buku ya nauli ya kurudia home tu
Ili ubarikiwe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wajinga ndio waliowao.
Nyie mlitakaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio nilitoa ili nibarikiwe. Nilipata mshahara wangu wa kwanza nikiwa mgodini na Barrick Bulyanhulu nikataka pesa yote niipeleke kwa nabii.
Enzi za ujinga bwana daah
Upo buly mzee?
 
Hahaha... Mimi nataka nijifunze kutoka kwako ndugu, maana sijahudhurua mikusanyiko ya ibada kwa muda sasa.
Mi kinachoniboa mikusanyiko ya kidini kila sku ni michango ya sadaka tuuu, hata neno la maana hamna , na sadaka zenyewe Bora ingekuwa zinaenda hata kwenye mahubir watu wamjue Mungu , ni michango ya vikao vya wachungaji wapeane posho , mara nyumba ya mchungaji , mara sjui idara ya Wana wa kike yaan usanii sanii mtupu..... Viongozi wa kidini wengi washakuwa wanasiasa ..... swaga za kifarisayo Sana , .....mi bhana madam biblia ipo inatosha kabisa , sa hv nitatoa hela yangu kama kuna mtu anahtaji kwenda kuhubiri na sio kumnunulia gari mtu
 
We dada nimekupenda bure! ebu kunywa Pepsi big apo ukimaliza lipia, afu sepa[emoji1787] You have spoken it all..

Sema watu wanajisahau Sana!
Hawajui kuwa siku ya mwisho tutatolea hesabu kila neno litokalo katika vinywa vyetu..
 
Kuishi kitajiri kwa expense ya waumini ni sawa?
Mkuu kajumba Kamoja... Vipi watawala wako wanaoishi Kama peponi na starehe za kila aina katikati ya wakamuliwa Kodi ambao wanakunywa maji na ngombe kwenye mabwawa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…