Mi kinachoniboa mikusanyiko ya kidini kila sku ni michango ya sadaka tuuu, hata neno la maana hamna , na sadaka zenyewe Bora ingekuwa zinaenda hata kwenye mahubir watu wamjue Mungu , ni michango ya vikao vya wachungaji wapeane posho , mara nyumba ya mchungaji , mara sjui idara ya Wana wa kike yaan usanii sanii mtupu..... Viongozi wa kidini wengi washakuwa wanasiasa ..... swaga za kifarisayo Sana , .....mi bhana madam biblia ipo inatosha kabisa , sa hv nitatoa hela yangu kama kuna mtu anahtaji kwenda kuhubiri na sio kumnunulia gari mtu