becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 665
- 825
Nimekuelewa nafikiri unamaanisha kanisa ni biashara kama biashara zingine, ngoja nikuache hapo kaka mkubwa.Kwani na nyie Kakobe mlimsomesha?
Mlimpa nyie wazo la kuanzisha kanisa?
Huwa mnaisadia kuingiza ibada?
Huwa mnamsaidia kuhubiri?
Alishawahi kuwafuata majumbani muende kanisani kwake?
Alishawahi kuwakaba mtoe sadaka?
Mliwahi kumsaidia kujenga kanisa?
Huo ndo mtaji wake kama ulivyo kwa mwenye duka.
Acha wivu wa kike,pambana na hali yako.
Tuliza hasira kwenye maendeleo ya wenzio,vinginevyo stress zitakuua Dunya wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tumuache aendele kufunya return ya mtaji wake.