Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

Kwani na nyie Kakobe mlimsomesha?
Mlimpa nyie wazo la kuanzisha kanisa?
Huwa mnaisadia kuingiza ibada?
Huwa mnamsaidia kuhubiri?
Alishawahi kuwafuata majumbani muende kanisani kwake?
Alishawahi kuwakaba mtoe sadaka?
Mliwahi kumsaidia kujenga kanisa?

Huo ndo mtaji wake kama ulivyo kwa mwenye duka.
Acha wivu wa kike,pambana na hali yako.
Tuliza hasira kwenye maendeleo ya wenzio,vinginevyo stress zitakuua Dunya wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa nafikiri unamaanisha kanisa ni biashara kama biashara zingine, ngoja nikuache hapo kaka mkubwa.
Ngoja tumuache aendele kufunya return ya mtaji wake.
 
Nimekuelewa nafikiri unamaanisha kanisa ni biashara kama biashara zingine, ngoja nikuache hapo kaka mkubwa.
Ngoja tumuache aendele kufunya return ya mtaji wake.
Duniani kote,hakuna kanisa ambalo si biashara. Wote wapo kwenye kutengeneza faida. Siyo RC,siyo Lutheran,Walokole wa aina yoyote ile. Wote wanasaka fedha ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani kote,hakuna kanisa ambalo si biashara. Wote wapo kwenye kutengeneza faida. Siyo RC,siyo Lutheran,Walokole wa aina yoyote ile. Wote wanasaka fedha ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
na ndio mana tunakataa hivo vitu kaka mkubwa.
mi hua natamani nione kanisa liwe sehemu kubwa ya watu kuwekeza upendo amani na maendeleo kwa kila mtumishi na sio kumfanya mtu mmoja awe juu zaidi tena especially yule alie na wito.
 
Ndugu yangu,kuna kitu wengi hawakielewi.
Dini hizi,na madhehebu yake,viko kwaajili ya kutengeneza faida au fedha.
Roma,ndiko ilikozaliwa Catholic,lakini ndiko kitovu cha sadaka zote baada ya makatato ya kikanisa,ki dayosisi na kitaifa.
Lengo ni kupata fedha.

Hiki ambacho unakiona kinarudi kama misaada,ni kutoka huko ambako tayari kumeshasimama na kunatoa faida. Misaada tunayopata ni convicing tu ili tujijenge kwa dini na madhehebu yao.

Hakuna dini wala dhehebu ambalo halipo kwaajili ya kukusanya fedha kupitia watu wao.
Unaweza kuta Mwamposa pale alipo baada ya ibada anapeana cha watu,cha wenye dhehebu lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hakukuumba uishi kinyonge.
Mungu alikuumba utawale dunia na vyote vilivyomo..hiyo ya kuishi kinyonge ni yako wewe.

Yesu ni Mungu,dunia na vyote vilivyomo ni Mali Yake.

Unaweza ishi masikini duniani na Mbinguni ukaenda.
Unaweza ishi kitajiri dunia na Mbinguni ukaenda.
Pia unaweza ishi kimasikini duniani na Mbinguni usiende..unaweza uishi kitajiri na mbingu usiione.

Acheni mawazo hasi,umasikini siyo sifa.
Umasikini na utajiri si suala. Neno linatutaka kuwa na kiasi katika yote.

Watumishi ni heri wamuishi Kristo katika kuwa na kiasi. Wao wanakula vinavyoletwa madhabahuni. Hekima ni kujiwekea uwiano na jamii inayowazunguka huku wakitumia kiasi kikubwa kueneza neno badala ya kujilisha kupita kiasi. Shetani anawategea hapo.
 
Back
Top Bottom