The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
wamefanikiwa kuiteka ikulu ndogoWabunge wa ccm hii wanaiona lakini?
Unabii upi huoZAKAYO THE TAX COLLECTOR HANA MUDA MADARAKANI NI SUALA LA MUDA TU NA UNABII UTAKUWA UNATIMIZWA👇
View: https://www.youtube.com/watch?v=xurzFoUhohs
Kama wamwadhibu MPINA Ili waitafune nchi hawataelewa!!!Wabunge wa ccm hii wanaiona lakini?
Ni suala la muda tu muda unakujaUmenistua sana Nilidhani ghorofa la bilionea wa Machame 😂😀
Ulale Unono 😀
Zuri so mbungewameweka mpaka na mziki kwamba nipo tayari kupambana na sitakuwa tauyari kumuona muovu akitawala aiseeee ni hatari sana inatia moyo 🔥🔥💥
Mkuu raraa ikulu ndogo Polisi wamekimbia ni zaidi ya vijana 300k huwezi ukashindana na raia wanapokuwa na hasira. Tazama vdeo ya chini uone jinsi inavyotia moyoIkulu wameshindwa kwenda wanavamia makazi ya watu sasa doh